MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 731
- 1,507
Hivi hawa utumishi wapo serious kweli? Hivi wanajua maelfu na mamia ya wasaka ajira wanakwama kiasi gani kutokana na huu mfumo wao wa hovyo? hivi watu wateseke kupata elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo bado waje wateseke na huu upuuzi?
Yaani kuhangaika kote kusoma halafu unafika wakati wa kutafuta ajira unaingia kwenye mfumo kwanza picha linaanza hakuna option ya kudelete academic qualifications, mfumo gani usiokuwa na hii option?
Huu mfumo mliwapa vijana wa field wautengeneze au? mbaya zaidi mmeshalalamikiwa kwa muda mrefu lakini hakuna changes, kubadili tu inachukua muda gani? how comes mtu hawezi kufuta taarifa zake za elimu? na mmekaa tu huko ofisini na vitambi vyenu huku wasaka ajira wakihangaika?, Picha la pili, Ukiupdate taarifa za work experience (kwanza wameandika 'working experience' badala ya 'work experience' ) hazibadiliki kwenye cv preview!,
Picha la tatu, Kama uliupdate vyeti ambavyo havikuwa certified then ukahitaji kuondoa na kuweka ambavyo vipo certified, Ukiedit then ukisave, hakuna mabadiliko! angalau vyeti vya O Level na A Level ukikomaa vinabadilika ila kwa University (cheti cha juu) inagoma.
Taarifa zote mnazona watu wamewasilisha na mmesikia lakini hakuna mabadiliko, Mnafanya kazi gani huko kama issues ndogo kama hizi zinawashinda? Kwa hiyo mmekaa chini mkaona huu ndiyo mfumo rasmi na centralized kwa maelfu ya wahitimu wanaotegemea kupata ajira serikalini? Hopeless!
Anyways, Kama kuna mtu anafahamu solutions kwa hizo issues msaada tafadhali, au nitupie zangu tu application yangu ya CONSERVATION RANGER III – ARTISAN (MOTOR VEHICAL MECHANICS) hivyohivyo Liwalo na liwe