Chai Maziwa
Member
- Jan 24, 2022
- 82
- 461
Uyo activation link ndo siioni. Kuanzia day 1 nasubr ila skupata. Hakuna njia nyngne ya kuomba ntumiwe activation link maana simu haziendi
Namna nzurii ni kuwapigia simu tu mkuu na mbona wanapokea chap tuuUyo activation link ndo siioni. Kuanzia day 1 nasubr ila skupata. Hakuna njia nyngne ya kuomba ntumiwe activation link maana simu haziendi
Wapigie kwenye namba hii 0262160350Uyo activation link ndo siioni. Kuanzia day 1 nasubr ila skupata. Hakuna njia nyngne ya kuomba ntumiwe activation link maana simu haziendi