Ajira Mpya kwa mwaka wa fedha 2011/2012..

Mchakatoh

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
302
39
Kama ilivyo kwisha tangazwa kuwa ajira zimepungunzwa 50%,watumishi watakaoajiliwa ni kama ifuatavyo:polisi(1,351),Magereza(485),Wizara ya Elimu(417),Kilimo(294),Jamii,Jansia na Watoto(247),Maliasili(152) na kurugenzi ya makosa ya jinai(111)..... Source: MwanaHALISI 14 Dec.2011
 
Hapo kwenye makosa ya jinai me cjaelewa,c ndio police hao hao jaman au?
 
Inawezekana tutumie pesa nyingi kwa ajili ya kusherehekea mafanikio ya Uhuru, mambo ambayo hayapo tukose na pesa ya kuajiri warumishi!
 
Ajira siyo priority ya Serikali hii ya awamu ya nne ila maisha bora zaidi kwa kila fisadi aka wabunge
 
aya mtukufu kikwete hongera kwa ku2somesha kisha ku2paki mtaani,ila unaiweka pabaya iyo ccm.wenzako hawakufanya ivyo.
 
Kama ilivyo kwisha tangazwa kuwa ajira zimepungunzwa 50%,watumishi watakaoajiliwa ni kama ifuatavyo:
Polisi(1,351),
Magereza(485),
Wizara ya Elimu(417),
Kilimo(294),Jamii,Jansia na Watoto(247),Maliasili(152)
na kurugenzi ya makosa ya jinai(111).....

mkuu tunashukuru kwa taarifa lakini hiyo ukiangali siyo 50% ni les than 10% naamini kuna data nyingine hujaweka kama wahasibu, afya na wengine.
kwa wale mnaotarajia ajira bora kupanga mipango mingine hii ni serikali ya porojo Kikwete aliahidi vyuo vichukue wanafunzi wa ualimu kwa wingi na serikali itawaajiri matokeo yake hata wachache waliopo hawana cha kufanya mtahani.
 
Back
Top Bottom