Kilomita 1 unauza sambusa 5,mara sambusa 200 utakuwa umetembea kilomita 40,mara mwezi utakuwa umetembea kilomita 1,200 sawa na kuukanyaga mkoa kwa miguu.
Zikidoda huyo mama anaweza kumruhusu dogo akanywee chai asubuhi au ndo bilabila?
Kuongea na kuwaza ni kazi rahisi tu, hiyo laki sita inatafutwa ati! Hivi unadhani kuuza sambusa 200 kwa siku mchezo ee.
Mkuu mi niko interested ila niko mkoani,kama unaweza nipangishia chumba maeneo hayo hayo ya ubungo na kunilipia miezi 6,na kunipa kitanda, subwoofer, tv flat,sofa seti moja bila kusahau nauli ya mimi na mke wangu hadi dar nipo shinyanga
Kazi naweza ifanya kwa moyo wote
Kilomita 1 unauza sambusa 5,mara sambusa 200 utakuwa umetembea kilomita 40,mara mwezi utakuwa umetembea kilomita 1,200 sawa na kuukanyaga mkoa kwa miguu.
Zikidoda huyo mama anaweza kumruhusu dogo akanywee chai asubuhi au ndo bilabila?
mkuu kuuza sambusa 200 kwa siku sio kazi ndogo atiMuuzaji atapata shilingi 100 kwa kila sambusa atayo iuza. Kwahiyo akiuza sambusa 200 kwa siku atakuwa na 20,000/- per day.
hahahhahahhahahahahahahahahaha awww im deadWe huna mdogo wako umuunganishe dili hilo