Ajira kwa kijana

serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
7,306
4,681
Kuna mama anatengeneza sambusa maeneo ya Ubungo. Anatafuta kijana wa kutembeza na kuuza sambusa hizo.

Muuzaji atapata shilingi 100 kwa kila sambusa atayo iuza. Kwahiyo akiuza sambusa 200 kwa siku atakuwa na 20,000/- per day.

Kijana awe mwaminifu, mchapa kazi na kama anaishi maeneo ya Ubungo itakuwa added advantage.
Kama uko tayari au unakijna unayejua anaweza kufanya kazi hii naomba uni PM.
 
Vema sana mkuu serio sasa kikwazo kinakuja kwamba madogo wengi hawajitambui kwani waweza kuta kaonga Sambusa zote 200 kwa watoto vigori huko bara barani na akarudi mikono mitupu akisingizia kuporwa na Wagambo wa jiji , cheze kuchunwa wewe.
 
Last edited by a moderator:
We huna mdogo wako umuunganishe dili hilo

Kiongozi mimi ndo wamwisho kwetu...

hata angekuwa mdogo wangu, as long as hana kazi, ningemshauri achukue hili dili...
20,000/- per day x 30 days = 600,000/- per month.
wapo watu maofisini hawapati hio amount kama take home yao..... refer to ushuhuda wa loan officers (fresh from school) wa Access Bank waliotoa hapa jukwaani.
 
Vema sana mkuu serio sasa kikwazo kinakuja kwamba madogo wengi hawajitambui kwani waweza kuta kaonga Sambusa zote 200 kwa watoto vigori huko bara barani na akarudi mikono mitupu akisingizia kuporwa na Wagambo wa jiji , cheze kuchunwa wewe.

hahahaaaa, sio kwamba watamwona mjinga kwa kuuza sambusa?
Maana vijana wengi ndicho wanaogopa
 
Kuna mama anatengeneza sambusa maeneo ya Ubungo. Anatafuta kijana wa kutembeza na kuuza sambusa hizo.

Muuzaji atapata shilingi 100 kwa kila sambusa atayo iuza. Kwahiyo akiuza sambusa 200 kwa siku atakuwa na 20,000/- per day.

Kijana awe mwaminifu, mchapa kazi na kama anaishi maeneo ya Ubungo itakuwa added advantage.
Kama uko tayari au unakijna unayejua anaweza kufanya kazi hii naomba uni PM.

Je ikipita siku nzima na ajafanikiwa kuuza hata moja inakuaje?
 
Ana order maalum au kutembeza tu....

Unaweza kumpa order ya sambusa za nyama..? Hii ni option nyingine nzuri sana.
Kutembeza ni option one yake, lakini akipata sehemu ya ku supply, itakuwa nzuri zaidi.
 
Kama ingekuwa ni kusupply kwa wateja maalum ningechukua hicho kibarua....kutembeza tu unaweza usiuze hata moja
 
Kilomita 1 unauza sambusa 5,mara sambusa 200 utakuwa umetembea kilomita 40,mara mwezi utakuwa umetembea kilomita 1,200 sawa na kuukanyaga mkoa kwa miguu.
Zikidoda huyo mama anaweza kumruhusu dogo akanywee chai asubuhi au ndo bilabila?
 
Kama ni kweli imetulia mno ila braza meni asogei hapo na ndo umasikin hauondoki tutalaum sanaaa
Kuna mama anatengeneza sambusa maeneo ya Ubungo. Anatafuta kijana wa kutembeza na kuuza sambusa hizo.

Muuzaji atapata shilingi 100 kwa kila sambusa atayo iuza. Kwahiyo akiuza sambusa 200 kwa siku atakuwa na 20,000/- per day.

Kijana awe mwaminifu, mchapa kazi na kama anaishi maeneo ya Ubungo itakuwa added advantage.
Kama uko tayari au unakijna unayejua anaweza kufanya kazi hii naomba uni PM.
 
Kilomita 1 unauza sambusa 5,mara sambusa 200 utakuwa umetembea kilomita 40,mara mwezi utakuwa umetembea kilomita 1,200 sawa na kuukanyaga mkoa kwa miguu.
Zikidoda huyo mama anaweza kumruhusu dogo akanywee chai asubuhi au ndo bilabila?

hahaaaaaa
 
Yaaan kila kazi ina added advantage ilikuwa badi experience hujatuambia je kwa mdogo wangu anayekaa chanika vp kuhusu nauli yake...
 
Kiongozi mimi ndo wamwisho kwetu...

hata angekuwa mdogo wangu, as long as hana kazi, ningemshauri achukue hili dili...
20,000/- per day x 30 days = 600,000/- per month.
wapo watu maofisini hawapati hio amount kama take home yao..... refer to ushuhuda wa loan officers (fresh from school) wa Access Bank waliotoa hapa jukwaani.

Kuongea na kuwaza ni kazi rahisi tu, hiyo laki sita inatafutwa ati! Hivi unadhani kuuza sambusa 200 kwa siku mchezo ee.
 
Back
Top Bottom