Ajira IT/Computer Science

Ajira IT/Computer Science

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,086
Reaction score
1,335
Wana jamvi nakaribia kuingia soko la ajira IT/COMPUTER SCIENCE naomba aliye ajiriwa anipe feedback je hizi kazi kwenye kampuni moja wapo IT wangap?Vp kuhusu mishahara yao kwa private na govt organisation?Vp kuhusu upatikanaji wake ni MAJIJINI tu kama Dar,arusha au sehemu zote? Nafasi zake zikitangazwa watu wanaojitokeza ni wengi kiasi gani je au makadirio? Je unaweza kusota miaka mingapi hadi kupata ajira? Naomba msaada waungwana tafadhari
 
kwenye upatikanaji wa ajira kuna bahati, undugu, kujuana, rushwa, performance, experience na mengine mengi ukiyajua haya basi hata maswal yako hayana majibu kiukwel. mana waweza soma course yenye watu wengi mtaan ila wewe usisote ht kidogo mtaani.
 
Kijana nikwambie tu mimi pia nimesoma ICT tupo boti moja na nimemaliza mwaka jana, kazi zipo moja moja hivyo hvyo ila kiukwel hii fani ina ushindani sanaa, sema ni rahis sana kujiajiri unaweza ukajiajiri bila mtaji wowote sure nakwambia maisha yakasonga, kuhusu mishahara ni sawa tu na wanaosoma kada nyingne kama economics, accounting. Pia ktk IT cha muhimu zaid ni competence, GPA haitakubeba sana, unaweza kuwa una GPA kubwaa ila hujui hata ku assign IP addres ktk computer zilizo katka network, GPA kubwa lakini huwez kuandika hata simple SQL query ya ku retrieve data. Hvyo nakusih kama bado uko chuoni unasoma hakikisha unakuwa vizuri hata ktk ishu moja, networking, database,programming, web technology e.t.c. Ukiwa comptent hutatamani kuajiriwaa.
 
Back
Top Bottom