Je Computer Science na Information Technology ipi bora zaidi???

Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
29,397
2,000
Habari...
kwenu wataalamu
Kuna dogo wa jirani yupo njiapanda kuhusu hivi vitu, anataka kusomea kuhusu Computer ila hajui achague kipi, sielewi chochote kuhusiana na computer ndio nahitaji mnisaidiei.....!
Je Kati ya Computer science na I.T ipi nzuri zaidi akisoma? lipi soko lake la ajira au kujiajiri lipi liko vizuri zaidi? ajiandae na nini ili kusoma fani hiyo?fani ipi inamtegemea mwenzake katii ya hizi mbili? nk nkk
Naomba mnipe evaluation ya kila kozi hapo then nimpatie achague atakachoona kimemvutia.

Ahsante..
 
Roadmap

Roadmap

JF-Expert Member
1,263
2,000
Hizo field zote zinataka mtu ajitoe haswa kusoma kibongo bongo IT wanasoko zaiidi ya CS japo ukiangalia covered modules zao wakiwa vyuoni zinalandana sana, All in All mwajili haangalii una CS au IT kinachoangaliwa ni unaweza kufanya nini ndani ya izo field
 
jang

jang

JF-Expert Member
1,228
2,000
Katika ajira hawaangalii umesoma nini kati ya hizo, kinachomata ni unajua mambo? Kama ni coding unajua language? Etc.. All in all for me aende computer science atachapa code zaidi, kama hiyo ndio interest yake
 
Joselela

Joselela

JF-Expert Member
4,067
2,000
IT professionals should enjoy installing computer systems, using software and maintaining networks and databases, while computer scientists should enjoy mathematics and software design. Mean CS atadeal sana na programming...
 
Joselela

Joselela

JF-Expert Member
4,067
2,000
CS atadeal na
anatomy of digital computer
Data processing
Computer software
Operating system
Data communication and networking
Fundamental of internet and Java programming
Control statements
Inheritance extending classes
Classes objects with constructors and destructors
Computing exploration in language, logic, and machine
Foundation of computer science
Pointer
File
OOP
Root
Philosophy of computer science
.
.
.
.
.
List goes on
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
4,927
2,000
Kabla ya kufikiria hizo course,kichwani chagua unataka kufocus katika nini (networking,programming,Database nk) na ukishajijua unatakuwa usome mwenyewe zaidi kuliko kusoma notes za darasani, basi ukishagraduate kesho unapata kazi.

Tatizo la watu IT mpaka mtu anamaliza hajui anajua nini kila kitu ukimuuliza utamsikia "hiki najua jua",katika industry ya IT unatakiwa UJUE HASWA ,asikudanganye mtu hamna kazi zinazolipa vizuri kama za IT haswa ukiwa deep na zipo nyingi,tatizo wabongo wengi hawazipati sababu wapo shallow.

Narudia tena hii point uiweke kichwani "UNATIKIWA USOME SANA WW MWENYEWE KULIKO KUKOMAA NA SLIDE ZA DARASANI,KUNA YOUTUBE TUTORIALS KIBAO,KUNA VITABU KIBAO NA SOFTWARE KWA AJILI YA PRACTICAL",soma haswa kuna vijana wapo below 30 wanakula zaidi ya mil 4 per month,SOMA ACHA KUPOTEZA MUDA KWA MAMBO YA KIJINGA UKIWA CHUONI.Ukiwa fiti zaidi unaweza hata ukajiajiri mwenyewe.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
29,397
2,000
Ushauri mwingine: soma medicine mkuu
sio mimi muhitaji! pia kama nimimi siwezi soma medicinne kwakua
  • Naogopa vidonge
  • sipendi harufu ya vidonge
  • naogopa kuangalia mtu anayeumwa.
ila kwa mimi ningepata nafasi ningesoma CS
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
29,397
2,000
Kabla ya kufikiria hizo course,kichwani chagua unataka kufocus katika nini (networking,programming,Database nk) na ukishajijua unatakuwa usome mwenyewe zaidi kuliko kusoma notes za darasani.Ukishamaliza basi leo kesho unapata kazi.

That's my boy..!! Ahsante sana mkuu Joe
Mkuu niambiie sasa kwa hizo mbili achukue zipi???
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
29,397
2,000
CS atadeal na
anatomy of digital computer
Data processing
Computer software
Operating system
Data communication and networking
Fundamental of internet and Java programming
Control statements
Inheritance extending classes
Classes objects with constructors and destructors
Computing exploration in language, logic, and machine
Foundation of computer science
Pointer
File
OOP
Root
Philosophy of computer science
.
.
.
.
.
List goes on
IT je???
 
Joselela

Joselela

JF-Expert Member
4,067
2,000
IT mara nyingi anadeal na hardware sana ingiwa software zipo pia Kama issue za database installation hapa ni hardware na software vile vile servers nk.

Kiujumla zinaenda fulani hivi...

Kwa Africa akichukua IT itamlipa kwasababu sisi tunapokea kutoka ulaya Yaan ni end-user au consumers

Ila hii ya CS ku write powerful software ambazo tu nakuja zitumia sisi na nafasi zake hizi sio mingi sana zinapatikana kwenye vitengo haswa haswa..

IT bila computer scientists ni hamna kitu...

IT - end-user
CS - producer

CS anaweza fanya kazi za IT
 
Marashi

Marashi

JF-Expert Member
1,489
2,000
sio mimi muhitaji! pia kama nimimi siwezi soma medicinne kwakua
  • Naogopa vidonge
  • sipendi harufu ya vidonge
  • naogopa kuangalia mtu anayeumwa.
ila kwa mimi ningepata nafasi ningesoma CS
Hahahh, poa
 
Tabutupu

Tabutupu

JF-Expert Member
9,602
2,000
Habari...
kwenu wataalamu
Kuna dogo wa jirani yupo njiapanda kuhusu hivi vitu, anataka kusomea kuhusu Computer ila hajui achague kipi, sielewi chochote kuhusiana na computer ndio nahitaji mnisaidiei.....!
Je Kati ya Computer science na I.T ipi nzuri zaidi akisoma? lipi soko lake la ajira au kujiajiri lipi liko vizuri zaidi? ajiandae na nini ili kusoma fani hiyo?fani ipi inamtegemea mwenzake katii ya hizi mbili? nk nkk
Naomba mnipe evaluation ya kila kozi hapo then nimpatie achague atakachoona kimemvutia.

Ahsante..
Tofauti ni majina tuu.. nakushauri angalia content za kozi ndipo uchague.

Anaye sema kuna tofauti basi ni kwa mtazamo wa kibongo bongo
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
29,397
2,000
IT mara nyingi anadeal na hardware sana ingiwa software zipo pia Kama issue za database installation hapa ni hardware na software vile vile servers nk.

Kiujumla zinaenda fulani hivi...

Kwa Africa akichukua IT itamlipa kwasababu sisi tunapokea kutoka ulaya Yaan ni end-user au consumers

Ila hii ya CS ku write powerful software ambazo tu nakuja zitumia sisi na nafasi zake hizi sio mingi sana zinapatikana kwenye vitengo haswa haswa..

IT bila computer scientists ni hamna kitu...

IT - end-user
CS - producer

CS anaweza fanya kazi za IT
Good analysis.

thanks buddy.. nimekupata vyema
 
Hassan Mambosasa

Hassan Mambosasa

Verified Member
2,372
2,000
Habari...
kwenu wataalamu
Kuna dogo wa jirani yupo njiapanda kuhusu hivi vitu, anataka kusomea kuhusu Computer ila hajui achague kipi, sielewi chochote kuhusiana na computer ndio nahitaji mnisaidiei.....!
Je Kati ya Computer science na I.T ipi nzuri zaidi akisoma? lipi soko lake la ajira au kujiajiri lipi liko vizuri zaidi? ajiandae na nini ili kusoma fani hiyo?fani ipi inamtegemea mwenzake katii ya hizi mbili? nk nkk
Naomba mnipe evaluation ya kila kozi hapo then nimpatie achague atakachoona kimemvutia.

Ahsante..
Aende CS, IT ni sehemu ya CS inayodili na networking
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
8,344
2,000
Kabla ya kufikiria hizo course,kichwani chagua unataka kufocus katika nini (networking,programming,Database nk) na ukishajijua unatakuwa usome mwenyewe zaidi kuliko kusoma notes za darasani.Ukishamaliza basi leo kesho unapata kazi.

Tatizo la watu IT mpaka mtu anamaliza hajui anajua nini kila kitu ukimuuliza utamsikia "hiki najua jua",katika industry ya IT unatakiwa UJUE HASWA ,asikudanganye mtu hamna kazi zinazolipa vizuri kama za IT haswa ukiwa deep na zipo nyingi,tatizo wabongo wengi hawazipati sababu wapo shallow.

Narudia tena hii point uiweke kichwani "UNATIKIWA USOME SANA WW MWENYEWE KULIKO KUKOMAA NA SLIDE ZA DARASANI,KUNA YOUTUBE TUTORIALS KIBAO,KUNA VITABU KIBAO NA SOFTWARE KWA AJILI YA PRACTICAL",soma haswa kuna vijana wapo below 30 wanakula zaidi ya mil 4 per month,SOMA ACHA KUPOTEZA MUDA KWA MAMBO YA KIJINGA UKIWA CHUONI.Ukiwa fiti zaidi unaweza hata ukajiajiri mwenyewe.
Uko sahihi!
 
Hassan Mambosasa

Hassan Mambosasa

Verified Member
2,372
2,000
IT mara nyingi anadeal na hardware sana ingiwa software zipo pia Kama issue za database installation hapa ni hardware na software vile vile servers nk.

Kiujumla zinaenda fulani hivi...

Kwa Africa akichukua IT itamlipa kwasababu sisi tunapokea kutoka ulaya Yaan ni end-user au consumers

Ila hii ya CS ku write powerful software ambazo tu nakuja zitumia sisi na nafasi zake hizi sio mingi sana zinapatikana kwenye vitengo haswa haswa..

IT bila computer scientists ni hamna kitu...

IT - end-user
CS - producer

CS anaweza fanya kazi za IT
IT ni branch ya CS
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom