Ajinyonga baada ya mama yake kumnyima Ksh 50 ya kununulia pombe

Ajinyonga baada ya mama yake kumnyima Ksh 50 ya kununulia pombe

Kaaz kweli hapo! Utakuta pombe yenyewe chang'aa!
 
Haya sasa_huyo alikua anatafuta sababu ya kufa.
 
hahaha...mm mkenya lakini hapo kucheka lazima. Lakini si makosa yake, hali ya maisha hivi majuzi imekuwa ghali sana, umaskini na ukosefu wa kazi. Hizi si ishara za kupendeza ukitilia maanani uchumi wa nchi, someone is sleeping on the job.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom