Tutaendelea lini wakati ndio kwanza uchumi unaanza kukua kwa 4%Wafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..
Hapa kazi tu..
Kwahiyo unaunga mkono kauli iliyotolewa mwaka jana kuwa " ....kuliko niongeze mishahara watumishi afadhali hizo hela ziende kwenye SGR, Ndege na miradi mingine..."Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Kazi bila malipo unayotakiwa kulipwa kisheria ni utumwa mkuu sio kazi tena.Wafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..
Hapa kazi tu..
[emoji23][emoji23]Wafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..
Hapa kazi tu..
Tutaendelea lini wakati ndio kwanza uchumi unaanza kukua kwa 4%
Kazi bila malipo unayotakiwa kulipwa kisheria ni utumwa mkuu sio kazi tena.
Umeshapata bwana maana unajilaisisha utukanwe tu kwa kickWafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..
Hapa kazi tu..
Haaaa haaaaMbona huelewi mkuu, mshahara utaongezwa tu tukifika kaanani, sio mbali tunakaribia kufika vumilieni kidogo.. Kwa sasa tufanye kazi kwa bidii usiku mchana tukuze uchumi wetu, mishahara tutalipana mpaka tufurahi..
Hapa kazi tu..
CCM oyee.
Kenge hasikii mpaka atoke damu masikioni.
Umeshapata bwana maana unajilaisisha utukanwe tu kwa kick
Tuanzie hapa kwahiyo ni kweliAcheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?
Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?
Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?
Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali
Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Kwahyo mkuu wastaafu toka mwaka jana hadi leo hawajalipwa wao wafanye nini tena kwa bidii ikiwa kazini washaondoka.Mbona huelewi mkuu, mshahara utaongezwa tu tukifika kaanani, sio mbali tunakaribia kufika vumilieni kidogo.. Kwa sasa tufanye kazi kwa bidii usiku mchana tukuze uchumi wetu, mishahara tutalipana mpaka tufurahi..
Hapa kazi tu..
CCM oyee.
Kenge hasikii mpaka atoke damu masikioni.
Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.
Ni kweli yako mambo mengi sana, hili nililolijadiri ni moja tu.Watu watawashauri vibaya vipi kwenye jambo kama hili ulilolielezea vizuri huko juu, halafu unakuja kulivuruga huku chini?
Ni watu wa namna gani wanaoweza 'kushauri' bendera za vyama zishushwe kwa amri ya mtu, kwa kujisikia tu ana madaraka juu ya binaadam wengine ?
Wewe umeamua kuliona hilo la mishahara tu na kudhani ndilo hatarishi; haya mengine yote yanayotokea huyaoni, au hayana maana kwa nchi yetu?
Sikushambulii au kukupinga kwa mada yako hii, lakini jaribu kupanua mawazo uone ujumla wa mambo yasiyo ya haki kutendwa na viongozi.
Una matatizo kichwani ka unamuamini ZZKNgoja tusubiri uchambuzi wa zitto kuhusu IMF ndio tutajua kama mishahara itaongezeka au lah.
Tuanzie hapa kwahiyo ni kweli
Kwahyo mkuu wastaafu toka mwaka jana hadi leo hawajalipwa wao wafanye nini tena kwa bidii ikiwa kazini washaondoka.
watumishi wa umma wa tz ni kikundi cha watu wasiojitambua..waoga na wanaofikiri ajira ni tunu toka kwa allah muumbaNadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.
Kwa maoni yangu hakuna kitu hatari kama hiki ,kwa sababu hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Huu ni mkate wa kula siku na binadamu akianza kukosa mkate ,ubinadamu huanza kumtoka na unyama huingia kwa kasi ya kutisha.
Nimezungumza na watumishi wa kada mbalimbali mioyo yao imevimba kwa hasira. Kichwani wamebeba furushi kubwa la manun'guniko.
Nataka nishauri ,tena natoa ushauri huu kwa moyo safi kabisa. Swala hili kama litaendelea kupuuzwa tutakuwa tunatengeneza hatari kubwa sana. Sitaki yatokee mabaya. Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.
You poor dady,only depending salary to survive,Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.