Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Umefikiria kwa kutumia sehemu za kutolea haja kubwa
 
Povu miiingiii but the truth has to be said... Na huo uchumi aliyeuvuruga ni nani?

Polisi ni sehemu ya Watumishi waliokosa stahiki zao ikiwemo nyongeza za mishahara ila utashangaa wanaisaidia ccm kuiba kura,polisi wa Malawi awahusiki wala awashiriki uchaguzi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu umegusa mahali sensitive sana.

Kuna watu hawaitambui nguvu ya watumishi kwa sababu ya viburi vya Madaraka,hawafanyi maamuzi kulingana na miongozo iliyopo bali kwa utashi wao kupitia kauli zao wazitoazo.

Hili ni time bomb,watumishi anaowadharu atake asitake ndio watekelezaji wa Ilani ya chama chake na ndio watekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali yake.

Haboreshi hali ya utendaji kazi zao,haboreshi maslahi yao halafu anawaamuru tena kwa ubabe wafanye kazi kwa bidii,hii si uongozi bora,anapaswa ajitafakari ingelikuwa ni yeye angekuwa na morali ya kufanya kazi kwa bidii?

Morali ya utendaji kazi ya watumishi wengi sana hasa wa ngazi za kawaida wasiokuwa wakuu wa idara au vitengo ambao ndio wengi serikalini imeshuka sana ktk kipindi hiki cha uongozi cha awamu ya 5,hii kikubwa ni sababu wamejikatia tamaa kwa kudhulumiwa haki zao kwa hoja zisizo na mashiko.

Kama serikali inawaona ni mzigo na wage bill ni mzigo mzito kwake,ifanye rentranchment kubwa,iwape chao,iache watumishi wachache walioboreshewa maslahi yao kuliko kung'ang'ania halafu unashindwa kuwatumia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani nimekuelewa sana huo ndo ukweli mchungu wenyewe, anasemaga hapendi kupangiwa yaani ukimpangia yeye ndo anakukera zaidi. Kwahiyo atamuweka Makonda kwa makusudi ili awakere zaidi si anajua hawampendi na yeye atamuweka huyo huyo, na hakuna lolote tutakalolifanya zaidi ya kuja hapa JF kulia lia nyuma ya keyboard kwa kutumia ID fake zetu. Shubaakengemiti [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila ubaya hua unamwisho ni swala la muda tu
 
Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.

Kwa maoni yangu hakuna kitu hatari kama hiki ,kwa sababu hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Huu ni mkate wa kula siku na binadamu akianza kukosa mkate ,ubinadamu huanza kumtoka na unyama huingia kwa kasi ya kutisha.

Nimezungumza na watumishi wa kada mbalimbali mioyo yao imevimba kwa hasira. Kichwani wamebeba furushi kubwa la manun'guniko.

Nataka nishauri ,tena natoa ushauri huu kwa moyo safi kabisa. Swala hili kama litaendelea kupuuzwa tutakuwa tunatengeneza hatari kubwa sana. Sitaki yatokee mabaya. Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.

Sidhani kama wafanyakazi hasa wa umma nchini Tanzania wanaweza kuamka, kushikamana na kufanya maamuzi yoyote yenye tija kwa maslahi yao..
Wengi wao hawajui tofauti kati ya utumishi wao, kutetea maslahi yao, uzalendo na kutumika kisiasa..
Wengi wao wanajiona kama sehemu ya usalama wa taifa vile au kama watumishi waandamizi wa Magogoni..
Wanasahau kuwa wapo kwenye utumishi wa umma kwa sababu ya mikataba yao ya ajira na si vinginevyo...!
 
Tatizo amepambana na ma miradi makubwa ambayo yanaweza yasikamilike! Nani alimwambia tunataka ndege? Nani alimwambia tunataka SGR? Nani alimwambia tunataka mabwawa ya rufiji, wakati gesi pale TPDC IPO ya kumwaga!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.

Kwa maoni yangu hakuna kitu hatari kama hiki ,kwa sababu hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Huu ni mkate wa kula siku na binadamu akianza kukosa mkate ,ubinadamu huanza kumtoka na unyama huingia kwa kasi ya kutisha.

Nimezungumza na watumishi wa kada mbalimbali mioyo yao imevimba kwa hasira. Kichwani wamebeba furushi kubwa la manun'guniko.

Nataka nishauri ,tena natoa ushauri huu kwa moyo safi kabisa. Swala hili kama litaendelea kupuuzwa tutakuwa tunatengeneza hatari kubwa sana. Sitaki yatokee mabaya. Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.
Miaka minne imepita ngoja tusubiri hiyo sita iliyobaki ya machozi jasho na damu kama akili zetu zitaendelea hivihivi 2020 kuchagua mateso yaendelee
 
Watumishi wa Umma wanajifanya wameelimika Sana, lakini wanashindwa kudai haki zao. Wanasiasa endeleeni kuwabana hao watu hadi tutakapopata Watumishi wenye elimu sahihi kwa mazingira yao.
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
TOO POLITICS.. CHADEMA IMEINGIAJE HAPA???
KILA KITU MNACHOMEKA SIASA!!
WAFIA CHAMAA... RUBISH!
 
Mishahara kuongeza haliwezaekani ktk Utawala wake maana hana Mbinu! Ila Madaraja japo amevuruga atapandisha kuanzia 2015,2014,2013,2012 maana Ameenda MALAWi kuomba msaada
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Hebu taja hao unaowaita "baadhi ya wapinzani wenzenu"!
 
Mpumbavu sana huyu. Ndiyo wale wa shule za kata akili ilishadumazwa.
Acha dharau wewe! tatizo la mtu ni lake usijaribu kujumuisha aina ya umiliki wa shule! usiwe wa ovyo tafadhali!
 
Toa ujuha wako zwazwa wewe! Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na mijadala muhimu ya Kitaifa? Si kila mmoja ashughulikie tatizo lake binafs! Mkulima wa korosho atajijua! Daktari atajijua na Mwalimu atajijua.

Toa ukamongo wako hapa zwazwa wewe.

Kwani shule ya kata ukisoma inapelekea kuwa na mtindio wa akili? acha uzwazwa squared! kabiliana na ajenda
 
Back
Top Bottom