Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

Kwa hiyo CDM ndo imekataza watumishi wasiongezewe mishahara?

CDM inaingiaje hapa kwenye swala la maslahi ya watumishi wa uma?

Unataka kuniambia watumishi wa uma ni wanachama wa CDM? au hoja yako hasa ni nini?

Kwa upande wako watumishi kutokubadilishiwa mishahara ni swala la kawaida tu, wala halipaswi kujadiliwa?

Watu kama wewe wala hamuisadii serikali. Mmejaa unafiki na ushabiki usio na tija. Ninaamini kabisa hata viongozi wanajua kuwa hili ni tatizo na wanafanya kila namna ili kurekebisha kasoro hii. Wewe endelea na ujinga wako.
Watu wa Lumumba hawajui wanachofanya,suala la mishahara haliwahusu wafanyakazi tu bali hata hao wanaokurupuka kujibu na wanyonge wasiojua pa kusemea.Mweleweshe kuhusu tako la kisheria maana yake nini labda ataelewa
 
Mpumbavu mmoja ww, akili ndogo kama jongooo, jinga sana ww, wakati mwingine ukiwa mbele za watu uache kuropoka ujinga wako, kama umetumwa mwambie huyo mumeo aliyekutuma kuwa watu hawataki kuona ujinga
Mpumbavu kweli huyo _______la mama yake!
 
Inaonekana wanaoandika wengi humu sio watumishi wa umma. Mishahara imeongezwa bila matangazo. kama idara yako bado itaongezwa soon kimyakimya lakini vyombo vyote vya ulinzi na usalama, bunge na mahakama TAYARI.
Kama kweli hao ameshawaongezea, kwake ni sahihi kabisa maana hao si ndo kinga yake. Asipowaongezea idara ya usalama ategemee nini na Asipowaongezea idara ya mahakama wapinzani watafungwa vp bila ya kuwakandamiza?
 
TUME HURU,TUME HURU,TUME HURUUUUUU,jeuri na kiburi hiki hakitakuwepo ikidaiwa na kuundwa TUME HURU.
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.

Hii pressure ndio inasababisha watu wanaprint hela ili kulipa halafu wanalalamika tena. Mimi nashauri mprint hela nyingine ili mlipe hizo hela. Mwanzoni mwa mwaka huu kulikuwa na uvumi kuwa kuanzia mwezi wa tano mishahara itaanza kusumbua, je hizi ndio dalili?
 
Wafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..

Hapa kazi tu..
Uzalendo wako umefikia kiwango cha ustaarabu wa kuingia kuoga bafuni tena la nje na ndala kisha ukaziosha zikang'aa kisha ukatoka umezishikilia mkononi
 
Inaonekana wanaoandika wengi humu sio watumishi wa umma. Mishahara imeongezwa bila matangazo. kama idara yako bado itaongezwa soon kimyakimya lakini vyombo vyote vya ulinzi na usalama, bunge na mahakama TAYARI.

Kwahiyo hao wameongezewa wengine wanaonekana hawana maana? Sasa hizi dharau ni hatari. Mpaka wanasiasa wameshaongezewa lakini madaktari bado. Wanajeshi tayari huku hamna vita, hii ni hatari.
 
Bichwa uko sahihi kabisa na mm na imani amiri jeshi mkuu Kamanda mtukufu rais mei mosi jemedari wetu ataongeza tu mishahara kwa watumishi wetu
 
Akili ndogo wewe unaiwaza chadema tu.Watu wanazungumzia hali halisi ilivo ya kiutendaji dhidi ya watumishi wewe unarukia chadema!!??Ni akili finyu inayowaza kuwa kila mtu anayekuja toa mada ya hali halisi ilivo kuwa ni chadema.Change you solid majority.
Hili jamaa jingà sana.
 
Wafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..

Hapa kazi tu..
LUKU! Maji! Matibabu! Mahitaji ya Familia km Shule, Vyakula vya bure mtapata "PAHALA HAPA NDIPO ILIPOZALIWA...!"
 
Hii ishu ilipoanza 2016 watu walifikiria utani. Hii issue ya kutojali kabisa maslah ya watumishi wa umma ilianza kwa kupunguza wenye mishahara mikubwa.watu wasijue kuwa kumbe ndio ulikua mwisho wa kuitumia standing order ya serikali. Mshahara ukipanda uwezo wa kukopa bank unaongezeka hivo walau unaweza fanya mirad mingi zaid ya maana na serikali ikapata kodi. Hii kitu ina madhara kwa serikali yenyewe. Ni kama serikali inajifunga kamba na kujifukarisha kuwa fukara. Kwa kutopandisha mishahara mapato ya nchi lazima yashuke na yataendelea kushuka kadri ambavyo hapandishi. Mwisho wake atashindwa kulipa mishahara mwishoni mwa mwezi. Hili ni suala la muda subirini.
Nimekuelewa vizuri sana mkuu
 
Kama kweli hao ameshawaongezea, kwake ni sahihi kabisa maana hao si ndo kinga yake. Asipowaongezea idara ya usalama ategemee nini na Asipowaongezea idara ya mahakama wapinzani watafungwa vp bila ya kuwakandamiza?
Yaan hapa ndio huwa nachokaga kabisa as if hii nchi wafanyakazi ni hao tu.
Ila haina mbaya tutaelewana tu huko mbeleni. Zamu yetu inakaribia
 
acha ujinga ww vyombo gan vya ulinzi na usalama vimeongezwa acha kulopoka tu labda kuna chombo chako ww cha ulinzi na usalama ndio kimeongezwa
Anadhani hapa maaskari, mahakimu na wabunge hawapo.
Mjinga sana huyo jamaa aisee
 
Kufikia July kama hakutakuwa na ongezeko la Mshahara, wale wategemezi wangu walioko Kijijini watanisamehe Bure. Sitakuwa na uwezo wa kuwasaidia
 
Ss kama hu
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
[/QUOTE
Ss na ww umeandika nn hapo?chadema ina watumish wa umma?akil za kuazima hizi
 
Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.

Kwa maoni yangu hakuna kitu hatari kama hiki ,kwa sababu hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Huu ni mkate wa kula siku na binadamu akianza kukosa mkate ,ubinadamu huanza kumtoka na unyama huingia kwa kasi ya kutisha.

Nimezungumza na watumishi wa kada mbalimbali mioyo yao imevimba kwa hasira. Kichwani wamebeba furushi kubwa la manun'guniko.

Nataka nishauri ,tena natoa ushauri huu kwa moyo safi kabisa. Swala hili kama litaendelea kupuuzwa tutakuwa tunatengeneza hatari kubwa sana. Sitaki yatokee mabaya. Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.
Nimepenyezewa taarifa kuna watumishi wa kada Fulani wameanza kusponsor watekaji then hela itoke tahadhari iangaliwe
 
hadi sasa viongozi waliovimbiwa wanatoa majibu ya hovyo na wengine wametia pamba masikioni
 
Back
Top Bottom