Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,383
Reaction score
2,586
Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.

Kwa maoni yangu hakuna kitu hatari kama hiki ,kwa sababu hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Huu ni mkate wa kula siku na binadamu akianza kukosa mkate ,ubinadamu huanza kumtoka na unyama huingia kwa kasi ya kutisha.

Nimezungumza na watumishi wa kada mbalimbali mioyo yao imevimba kwa hasira. Kichwani wamebeba furushi kubwa la manun'guniko.

Nataka nishauri ,tena natoa ushauri huu kwa moyo safi kabisa. Swala hili kama litaendelea kupuuzwa tutakuwa tunatengeneza hatari kubwa sana. Sitaki yatokee mabaya. Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
 
Kukurupuka si sifa nzuri kwa mchangiaji yeyote, jiepushe na ukurupukaji unakushushia heshima. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi ni haki yao siyo hisani. Na kama haya uliyosema ndio msimamo wa CCM basi jiandaeni kwa matatizo labda mtumie mabavu mwakani. Kikwete alidharau kura za watumishi mwaka 2009 na akafikia kusema "Kwanza watumishi hamzidi 350,000", yaliyompata 2010 pamoja na uchakachuaji wa kura anayajuà vizuri.
 
Kwa hiyo CDM ndo imekataza watumishi wasiongezewe mishahara?

CDM inaingiaje hapa kwenye swala la maslahi ya watumishi wa uma?

Unataka kuniambia watumishi wa uma ni wanachama wa CDM? au hoja yako hasa ni nini?

Kwa upande wako watumishi kutokubadilishiwa mishahara ni swala la kawaida tu, wala halipaswi kujadiliwa?

Watu kama wewe wala hamuisadii serikali. Mmejaa unafiki na ushabiki usio na tija. Ninaamini kabisa hata viongozi wanajua kuwa hili ni tatizo na wanafanya kila namna ili kurekebisha kasoro hii. Wewe endelea na ujinga wako.
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
we popoma mbona kila mahali unadandia, afadhali ungelikuwa unatoa hoja ya maana... JF inadhalilishwa na nyie mapopoma!
 
Another’ kamongo Mkuu.

Kukurupuka si sifa nzuri kwa mchangiaji yeyote, jiepushe na ukurupukaji unakushushia heshima. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi ni haki yao siyo hisani. Na kama haya uliyosema ndio msimamo wa CCM basi jiandaeni kwa matatizo labda mtumie mabavu mwakani. Kikwete alidharau kura za watumishi mwaka 2009 na akafikia kusema "Kwanza watumishi hamzidi 350,000", yaliyompata 2010 pamoja na uchakachuaji wa kura anayajuà vizuri.
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Tumia ubongo wako kidogo kufikiri kabla ya kuropoka.
Mimì ni CCM kama wewe,ongezeko la mishahara si ombi,si swala la chama au mtu binafsi,lipo kisheria.
Hujaona habari ya CCM kuhusu mafao kwenye ripoti ya CAG,unafikiri ni ongezeko la mshahara limesababisha yote hayo au ni hela zimeliwa?
 
Mpumbavu sana huyu. Ndiyo wale wa shule za kata akili ilishadumazwa.

Wakati anaomba urais kwa tupushapu twa JKT kuna sehemu alisema ataharibu uchumi? Nigger please, tumia tu akili twako vema.Ni takwa la kisheria kuongeza mishahara na kuboresha maslahi ya watumishi.Siyo ombi.
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Mpumbavu mmoja ww, akili ndogo kama jongooo, jinga sana ww, wakati mwingine ukiwa mbele za watu uache kuropoka ujinga wako, kama umetumwa mwambie huyo mumeo aliyekutuma kuwa watu hawataki kuona ujinga
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Umeelewa mada lkn?
 
Acha jiwe aendelee kuivuruga fisiem ili itoke madarakani. Karibu miaka 60 uhuru wanafunzi bado wanakaa chini au wewe bado una imani nayo?
 
Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.

Kwa maoni yangu hakuna kitu hatari kama hiki ,kwa sababu hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Huu ni mkate wa kula siku na binadamu akianza kukosa mkate ,ubinadamu huanza kumtoka na unyama huingia kwa kasi ya kutisha.

Nimezungumza na watumishi wa kada mbalimbali mioyo yao imevimba kwa hasira. Kichwani wamebeba furushi kubwa la manun'guniko.

Nataka nishauri ,tena natoa ushauri huu kwa moyo safi kabisa. Swala hili kama litaendelea kupuuzwa tutakuwa tunatengeneza hatari kubwa sana. Sitaki yatokee mabaya. Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.

Mod nakuomba usiunganishe Uzi huu.
Hii ishu ilipoanza 2016 watu walifikiria utani. Hii issue ya kutojali kabisa maslah ya watumishi wa umma ilianza kwa kupunguza wenye mishahara mikubwa.watu wasijue kuwa kumbe ndio ulikua mwisho wa kuitumia standing order ya serikali. Mshahara ukipanda uwezo wa kukopa bank unaongezeka hivo walau unaweza fanya mirad mingi zaid ya maana na serikali ikapata kodi. Hii kitu ina madhara kwa serikali yenyewe. Ni kama serikali inajifunga kamba na kujifukarisha kuwa fukara. Kwa kutopandisha mishahara mapato ya nchi lazima yashuke na yataendelea kushuka kadri ambavyo hapandishi. Mwisho wake atashindwa kulipa mishahara mwishoni mwa mwezi. Hili ni suala la muda subirini.
 
Nadhani kuna mahali watu hawajafikiri vizuri. Hii ajenda ya maslahi kwa watumishi wa uma ,hasa ogezeko la mishahara na kupanda vyeo si ajenda ya kupuuza hata kidogo.

Kwa maoni yangu hakuna kitu hatari kama hiki ,kwa sababu hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja. Huu ni mkate wa kula siku na binadamu akianza kukosa mkate ,ubinadamu huanza kumtoka na unyama huingia kwa kasi ya kutisha.

Nimezungumza na watumishi wa kada mbalimbali mioyo yao imevimba kwa hasira. Kichwani wamebeba furushi kubwa la manun'guniko.

Nataka nishauri ,tena natoa ushauri huu kwa moyo safi kabisa. Swala hili kama litaendelea kupuuzwa tutakuwa tunatengeneza hatari kubwa sana. Sitaki yatokee mabaya. Kama kuna watu wanawashauri vibaya viongozi ,watu hao waache Mara moja.

Mod nakuomba usiunganishe Uzi huu.
Acha tu kazi mkuu.Kuna wengine dhulma zilizidi tukaona isiwe taabu bora kujiondokea tu.
 
Wafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..

Hapa kazi tu..
 
Back
Top Bottom