Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

Ajenda hatari: Mishahara ya watumishi

Wafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..

Hapa kazi tu..
Wewe una kazi gani? au ni wale washangiliaji wa kila kitu ,halafu mambo yakiharibika mnageuza kauli na kusema " sisi tuliwambia hawakusikia"
 
Wafanya kazi tufanye kazi kwa bidii kujenga Taifa letu kwanza, Taifa likishaendelea tutajilipa tu wenyewe mishahara tunayotaka.. Kwa sasa tuwe wavumilivu hata kwa kufanya kazi bure..

Hapa kazi tu..
Kama unaongea 'ironically' uko sahihi, ila kama unamaanisha, uwezo wako wa kupambanua mambo ni 'mbilikimo' sana.
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Kwani kikwete aliwezaje kupandisha mishahara na kutoa ajira mpya?
 
Acha tu kazi mkuu.Kuna wengine dhulma zilizidi tukaona isiwe taabu bora kujiondokea tu.
Wakiacha wote nani atawatibu watanzania?
Hii ni hoja dhaifu sana. Hakuna nchi isiyokuwa na watumishi wa uma ,hata huko marekani wapo. Harakati za watumishi wa uma kupigania maslahi yao zilianzia huko huko nchi zilizoendelea.

Wewe umeacha kazi ,unadhani huko kwenye sekta bibafsi hatujui kuna hali gani?

Mbona na huko ni majanga tu. Au umeamua kukaa nyumbani tu?
 
Acha tu kazi mkuu.Kuna wengine dhulma zilizidi tukaona isiwe taabu bora kujiondokea tu.
Kuacha kazi sio solution. This is like a chain. Unaacha kazi unaenda kufumgua biashara ambayo kwa kiasi kikubwa inategemea mzunguko wa Pesa ambao kwa zaidi ya 40% inachangiwa na watumishi wa umma kupitia mikopo na monthly payments. Hii inapelekea biashara zidode kwa kiasi fulani kutokana na mzunguko wa pesa. Kuacha kaz bado sio solution.
 
Hii ishu ilipoanza 2016 watu walifikiria utani. Hii issue ya kutojali kabisa maslah ya watumishi wa umma ilianza kwa kupunguza wenye mishahara mikubwa.watu wasijue kuwa kumbe ndio ulikua mwisho wa kuitumia standing order ya serikali. Mshahara ukipanda uwezo wa kukopa bank unaongezeka hivo walau unaweza fanya mirad mingi zaid ya maana na serikali ikapata kodi. Hii kitu ina madhara kwa serikali yenyewe. Ni kama serikali inajifunga kamba na kujifukarisha kuwa fukara. Kwa kutopandisha mishahara mapato ya nchi lazima yashuke na yataendelea kushuka kadri ambavyo hapandi. Mwisho wake atashindwa kulipa mishahara mwishoni mwa mwezi. Hili ni suala la muda subirini.
Pointi safi kabisa.
 
Inaonekana wanaoandika wengi humu sio watumishi wa umma. Mishahara imeongezwa bila matangazo. kama idara yako bado itaongezwa soon kimyakimya lakini vyombo vyote vya ulinzi na usalama, bunge na mahakama TAYARI.
 
Wewe ni muongo. Umeongea na watumishi wepi? wangapi? Acha kuitisha Serikali.
Mimi ninayesema ukweli ndo naisadia serikali kuuona ukweli. Watu kama wewe ni wanafiki sana ,mioyo yenu imejaa ubinafsi . Leo unapinga ongezeko la misharahara ,kesho serikali ikiamua kuongeza mishahara utashangilia na kupongeza tena. Viongozi wengi wa Afrika wameponzwa na watu kama wewe ,kazi yenu ni kuwadanganya viongozi kuwa mambo yako sawa tu, ili nyinyi mpate chakula cha tumbo lenu. Unafiki.
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Mkuu umemwaga povu kwa cdm wkt mtoa post sio hata mwanachama wa cdm wala haja mention cdm.
Sio kila anaetoa post za kuhoji serikali ni mpinzani. Wengine hawana vyama kabisa.. ila wanahoji. Jifunze kutofautisha.. si kila kitu unaweka siasa.

Pili alichandika mtoa post sio kudaiwa mshahara bali ongezeko la mishahara.
Cdm wangekua hawawalipi wanachama wao tungesikia malalamiko hata CAG angeliorodhesha hilo kwenye report ya ukaguzi.
Wafanyakazi hawadai mshahara.. ila ongezeko la mshahara.
 
Mkuu umemjibu vyema. Kijana amekurupuka bila kujua mbele ni waoi nyuma ni wapi.
Tumia ubongo wako kidogo kufikiri kabla ya kuropoka.
Mimì ni CCM kama wewe,ongezeko la mishahara si ombi,si swala la chama au mtu binafsi,lipo kisheria.
Hujaona habari ya CCM kuhusu mafao kwenye ripoti ya CAG,unafikiri ni ongezeko la mshahara limesababisha yote hayo au ni hela zimeliwa?
 
Angalia vyombo vaya ulinzi na mahaka na bunge tayari. Yaan vile vyombo ambavyo ni rahis kutumiwa kisiasa..ili wawaendeshe vizuri.
Niko serikalin.. sisi wa huku chini ambao ndio wengi zaid wataongeza lini? Maana kila mwaka ni sound tu
Inaonekana wanaoandika wengi humu sio watumishi wa umma. Mishahara imeongezwa bila matangazo. kama idara yako bado itaongezwa soon kimyakimya lakini vyombo vyote vya ulinzi na usalama, bunge na mahakama TAYARI.
 
Magu asicheze na hii kitu, Jeshi la polisi na usalama wa taifa wana ukomo wa kuisaidia CCM kuwazuia upinzani ila sio katika kuwakandamiza wanachi.
ivi ww unazan ao polisi ndio awataki kuongezewa mishahara au awataki vyeo eeh tangu magu aingie madalakan vyeo katika jeshi la polisi ni hafifu San mpaka sasa nasikia tu second commander wameenda kwa awamu moja tu sasa unafikilia nn?
 
Inaonekana wanaoandika wengi humu sio watumishi wa umma. Mishahara imeongezwa bila matangazo. kama idara yako bado itaongezwa soon kimyakimya lakini vyombo vyote vya ulinzi na usalama, bunge na mahakama TAYARI.
acha ujinga ww vyombo gan vya ulinzi na usalama vimeongezwa acha kulopoka tu labda kuna chombo chako ww cha ulinzi na usalama ndio kimeongezwa
 
hahahaha tatizo lenu mnafikiri Mh. Rais halitambui hili..nadhan suala la watumishi analitambua kuliko mtu yoyote...lakini niwatahadhalishe isije ikatokea akapandisha mishahara yao mara mbili halafu mkaja mkaanza kulalamika tena eti kwanini amepandisha kiasi hiki..tunzeni maneno yenu haya vizuri tuje tutathmini tena after June..Watumishi jiandaeni kula vinono.kaeni mkao wa kula .huu ni mwaka wa neema mlishaambiwa.na Mh. Rais..
 
Acheni unafiki mnasema uchumi haukui ni mbovu sasa hiyo mishahara aongeze atailipaje?

Je cdm hawadaiwi mishahara na watumishi wake kama wanadaiwa kipi bora sasa kutoa mishahara unayowezakulipa au kutoamishahara usiyoweza kulipa?

Unafiki,chuki,uongo vinawaponza cdm badala ya kushughulika na kuongeza namba ya wapiga kura nyie mmekalia majungu tuu muda unaenda watu wanawakimbia sasa ndiyo nini?

Huwezi kuleta ukombozi ndani yanchi kwa kungalia mapungufu tuuuu ya chama kilichopo madarakani lazima uwe mtu wa haki kwa upinzani siyo uadui na ndiyo maana Rais amewachagua baadhi ya wapinzani wenzenu kuwa viongozi ndani ya serikali hiyohiyo mnayoipinga na wamekubali

Huwezi ukaongozwa na kiongozi mwenye njaa hata siku moja atakuuza ili kushiba.
Upuuz mtupu wewe ndio wale wanaokula kulala kwa wazaz hujui hata bei ya chumvi poor you
 
Mtu anayepiga matilioni unafikiri atawajali kwenye kuongeza mishahala yeye anawaza ,kuendelea kukomba matilioni tu ,muda wa kuongeza mshahara hana .
 
Back
Top Bottom