jangala
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,583
- 2,383
Ukitaka kuwawin watu wawili unaowaongoza ni simple sana :
Kama Unatakiwa kuwalipa Sh 10,000/= Basi chukua 5000 mpe mmoja wao, kisha Huyu mwingine mpe 2500/=,halafu ukae pembeni uwaangalie.. Mmoja lazima Atalalamika kuhusu malipo, Ila mmoja atapinga Sana Kwan Hawa hawako ktk ratio moja... Mmoja anapata kinono na mmoja kinyume chake.. Kamwe usiruhusu watu uliowaajiri wakawa wanapatana, watakusumbua.. Hahaaaaaa
Ninachokiona hapa ni battle Kati ya waliopandishwa cheo /mshahara Na wahanga wa vyeo na mishahara....
Huu uzi utapoteza maana na lengo kusudiwa maana mnabishana badala ya kujenga hoja ili wahusika wawaone kilio chenu...
Binafsi mi cheo Nimepandishwa na mshahara pia.. Ila siko serikalini...
NB:
Huwez kupandisha cheo watu wote na mishahara yao...hzo Hela unazitoa wapi... Hapa Kama nyota yako ni hafifu jipange ndugu..