passion and power
Senior Member
- Feb 13, 2017
- 102
- 78
Alikiba anatania, had mashabiki wanatania. Ulichoandika ni utani mtupuBonge la video bonge la audio....haters kunyweni maji
sema basi kuwa unatania tuu sio kweli ulichoandika
Alikiba anatania, had mashabiki wanatania. Ulichoandika ni utani mtupuBonge la video bonge la audio....haters kunyweni maji
sema basi kuwa unatania tuu sio kweli ulichoandika
Daaa sikutaman ata iishe.. Nzur san.CC daud mchambuzi
Mkuu nataman niwe nao kwenye simu niwe nauangalia... Ntauchukuaje apaCC daud mchambuzi
sijiu unatumia browser gani!Mkuu nataman niwe nao kwenye simu niwe nauangalia... Ntauchukuaje apa
sijiu unatumia browser gani!
Ila fanya hivi uclick kama una play! ukishaanza kuplay pale juu ya hiyo video zitatokea "url" zinaanza na http//m.......
Futa hiyo "m" weka "www" then "nukta" halafu ongeza "ss" then zile herufi zinazoendelea
mwisho bonyeza "search"
Utaipata kiurahisi
Utasema utumboWe mwenye lolote dole gumba limevimba kwa kubonyeza button na kuchangia utumbo kutwa nzima
imepenya hiyo.Mwenye huwo wimbo atuwekee apa mm sitaki kwenda kuuangalia youtube maana nitamuongeza viewz
Sawa mkuusijiu unatumia browser gani!
Ila fanya hivi uclick kama una play! ukishaanza kuplay pale juu ya hiyo video zitatokea "url" zinaanza na http//m.......
Futa hiyo "m" weka "www" then "nukta" halafu ongeza "ss" then zile herufi zinazoendelea
Utaipata kiurahisi
Hayo nimeyaongea hapo juu mkuu na nimewaambia kitu anachokifanya King Kiba wengine hawawezi kukifanya na sio kukifanya tu wala kufikilia hawawezi that'z how we call him king iz due to his creativity...kwenye hii nyimbo nimependa vitu vingi sana ila huyu director kaja kunimaliza kwenye taa na rangi zilizopo na jinsi zinavyo badilika na sio rangi tu bali ni rangi nzuri zinazovutia kuangalia...msanii mbunifu ni yule ambae anafanya kitu kilicho tofauti na mawazo ya mashabiki.
Sio yule mwingine ukisikia katoa video unajua kabisa kuna magari ya kifahari,Maghorofa,Majumba mazuri na mipasho kati kati ya video.
Huku mambo yote tofauti...ulichotegemea Sio unachokikuta.Huo ndio unaitwa ubunifu.
Mliiponda Aje ikabeba 15+ tuzo na hii itazibeba za kutosha tu.
Ubunifu ujauona?!Utasema utumbo
lakini ukweli ndio huo
msanii hana ubunifu wowote wewe unaona sawa
!!
a watu wa Madale hawawezi kuona namna hiyo.Hayo nimeyaongea hapo juu mkuu na nimewaambia kitu anachokifanya King Kiba wengine hawawezi kukifanya na sio kukifanya tu wala kufikilia hawawezi that'z how we call him king iz due to his creativity...kwenye hii nyimbo nimependa vitu vingi sana ila huyu director kaja kunimaliza kwenye taa na rangi zilizopo na jinsi zinavyo badilika na sio rangi tu bali ni rangi nzuri zinazovutia kuangalia...
Big up king keep going tupo nyuma yako
I will marry u ina ubunifu gani?!Msimtengee Kueni Wavumilivu.....Sidhani kama Hili ni Tatizo la Management what i see ni kuwa kiba Sio mbunifu at all! Ni majivuno na kujiona anajua ndio sababu ya kutotaka kuupokea ushauri wowote unaoenda kwake? Mashabiki wa kweli wa Ali Kiba toka Lini wametoka wakimshauri kubadilika juu y video anazo zifanya Lakini kila siku amekuwa akidrop?
Hapa thamani ya Bifu lake na Diamond ndo linaonekana Sitashngaa kuona hii video Ina views Wengi sana Youtube.....Coz watu watataka kuangalia uupuzi alio Fanya na watacompare na Diamond japo now Diamond anatafuta views 3M kwenye Vevo ila hii Aje Remix itakuja kwa kasi kutokana na Watu kutaka kujua nn kipo ndani ya Lakini sio kwa sababu ya Video ni nzuri
Ali Kiba Hadi Video inavuja???
Hizi akili za kitanzania ndio zinazofanya tuwe nchi maskini.AliKiba ana gubu sana, Mwinyi na anapenda sana kunyenyekewa kuliko kujishusha - Unaweza kukuta walishakosana!
We kweli umevurugwa.Mie sijaelewa umuhimu wa hii aje remix ! Coz video ya kwanza MI hayupo hii nayo Yale Yale sasa swali la mwisho remix mabadiliko yapo wapo Ni video Au beats nini dhumuni ya remix