Aje Remix Official Video

Aje Remix Official Video

Aje remix video
81854e9d3b039031d36a85fa8465811d.jpg
 
Kwanza hii ni Official Video angalia Account yake insta link aliyotoa! KWA MARA nyingine tena MI hayupo labda sijui makubariano yao....Ila duuuuuu Hakuna kitu kinaboa Kama kumsubiri mtu usie mfahamu hasa wa kike halafu akija unaona Sura mbayaaaaaa afadhar ya yule ulie muachana home
 
Majirani naona mnahuzunika.... Mlipenda boga pendeni na ua lake
 
Kwanza hii ni Official Video angalia Account yake insta link aliyotoa! KWA MARA nyingine tena MI hayupo labda sijui makubariano yao....Ila duuuuuu Hakuna kitu kinaboa Kama kumsubiri mtu usie mfahamu hasa wa kike halafu akija unaona Sura mbayaaaaaa afadhar ya yule ulie muachana home
Umenichekesha mkuu, huyu jamaa nlikua namkubali kweli ila upendo wangu kwake umeshafubaa siku nyingi si kwa maujinga haya make hawezagi hata kujiongeza, video mbovu unaileta tena uliyemshirikisha hayupo kwa mara ya pili sasa angekua ni Timbulo tungesema labda alikosa pesa ya kumfuata au kumsafilisha M.I ili wafanye video
 
Hii video kali sana, imefanywa katika professional kubwa akili ndogo kama nywele za fidodido haziwezi kuelewa go kiba,
Kama kuwa na akili kubwa ndo kuuona huu utumbo uliooza ni mzuri basi wacha mimi niwe na akili ndogo. Bado siamini hii ndo video aliyotusubirisha wacha niisubiri tuu labda itakuja
 
Alikiba ameachia video remix ya wimbo wake wa AJE ambao safari hii tofauti na mwanzo yupo MI.
Karibuni tuisikilize.
 
Nakupenda ali kiba napenda nyimbo zako,nakumbuka kwa mara ya kwanza nakusikia ktk nyimbo ya abby skilliz maria nilikukubali sanaa,ila nimechoka kua mnafiki na kukukingia kifua kwa ajili ya mapenzi yangu kwako,nadhani tukikuambia ukweli unaweza badilika,kwa hii video ni heri ungetoa ata video yako ukiwa upo uwanjani unafanya mambo yako yaani ukiwa na muheza unapiga ball lakini kwa hii umetuangusha mashabiki wako kwa kiwango cha p.h.d. why utufanyie haya nahisi unatuhujumu?
 
Msimtengee Kueni Wavumilivu.....Sidhani kama Hili ni Tatizo la Management what i see ni kuwa kiba Sio mbunifu at all! Ni majivuno na kujiona anajua ndio sababu ya kutotaka kuupokea ushauri wowote unaoenda kwake? Mashabiki wa kweli wa Ali Kiba toka Lini wametoka wakimshauri kubadilika juu y video anazo zifanya Lakini kila siku amekuwa akidrop?

Hapa thamani ya Bifu lake na Diamond ndo linaonekana Sitashngaa kuona hii video Ina views Wengi sana Youtube.....Coz watu watataka kuangalia uupuzi alio Fanya na watacompare na Diamond japo now Diamond anatafuta views 3M kwenye Vevo ila hii Aje Remix itakuja kwa kasi kutokana na Watu kutaka kujua nn kipo ndani ya Lakini sio kwa sababu ya Video ni nzuri

Ali Kiba Hadi Video inavuja???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom