Aje Remix Official Video

Aje Remix Official Video

Kiba Haya madharau.
Kiba huu unaotuletea ni ujinga.
Kiba hukutakiwa kuwa na haraka ya single mpya
Kiba why unatuangusha?
Kiba umeamua kuwa shekisheki?

Au ngoja na mie niamni kama weenzangu kuwa hii imevujishwa sio yenyewe.
hahahahahah et shekisheki
 
Ya kwanza nzuri kuzidi huu ujinga uyu jamaa atakitambua lini
 
Naombeni definition ya insanity kama ile iliyo tolewa na mch. Msigwa bungeni
 
Mwenye huwo wimbo atuwekee apa mm sitaki kwenda kuuangalia youtube maana nitamuongeza viewz
 
Aje remix video
81854e9d3b039031d36a85fa8465811d.jpg
Umeua
 
sisi watanzania bwana!
eti sitaki kumuongezea viewz, iyo inaitw weka ugoko mm naweka chuma!
 
Msimtengee Kueni Wavumilivu.....Sidhani kama Hili ni Tatizo la Management what i see ni kuwa kiba Sio mbunifu at all! Ni majivuno na kujiona anajua ndio sababu ya kutotaka kuupokea ushauri wowote unaoenda kwake? Mashabiki wa kweli wa Ali Kiba toka Lini wametoka wakimshauri kubadilika juu y video anazo zifanya Lakini kila siku amekuwa akidrop?

Hapa thamani ya Bifu lake na Diamond ndo linaonekana Sitashngaa kuona hii video Ina views Wengi sana Youtube.....Coz watu watataka kuangalia uupuzi alio Fanya na watacompare na Diamond japo now Diamond anatafuta views 3M kwenye Vevo ila hii Aje Remix itakuja kwa kasi kutokana na Watu kutaka kujua nn kipo ndani ya Lakini sio kwa sababu ya Video ni nzuri

Ali Kiba Hadi Video inavuja???
Kiba sio mbunifu na hajui kujituma kufanya kitu kizur.... Nilikua napenda kaz zake ila tangia waje akinq fulani naona ubunifu na kujituma zaid kwao. Kiba badilika bro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom