Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

GAUTAMA hujui uongealo,Bodaboda ni careless! Sipandi bodaboda kabisa maana nawajua jamaa ni vilaza hawakawii kukuingiza uvunguni mwa Scania!

Ni kweli Mkuu sijui niongealo, lakini hujajibu hoja yangu hata moja kiasi cha kuja na generalization,

Ajali imetokeaje? actually wote hatujui kati ya mzungu na hao madereva nani ana makosa....

Ukiiangalia picha kwa makini waliokuwepo pale si wote walikua bodaboda, na hata mleta mada amesema waliochoma gari ni WANANCHI,

Mzungu anaweza kua alikua ana makosa! unakataa? wonderful!...... amepiga risasi hewani amefaulisha mizigo yake kwenye gari nyingine akatembea anawaachia a black corpse kwa ajili ya mazishi.....

Katika Ignorant Society kama hii ya kwetu uamuzi wa haraka ilikua ni kupata mob satsfaction, nayo ni kuchoma gari hilo ......la bima ni geni kwa sisi masikini, na kwa sababu tunaamini hangechukuliwa hatua huyo mzungu then what could we do? na tunaliona gari la thamani Choma moto, hata Fergeson wanachoma moto the same!.....

Kwa hiyo Mkuu Hata kama wewe hupandi Bodaboda, wapo wanaopanda! wengi sana, hata mimi.....wapi bodaboda wapuuzi, wapo wastaarabu, tunaishi nao mtaani...
 
Last edited by a moderator:
Comprehensive Insurance itamlipa... Vijana na tanzania wapuuzi sana. Unachoma gari wakati hata hela ya mkate inakupiga chenga... ----!
 
So sad! kwa nini jamani tunajichukulia sheria mkononi ? Uwa tunajifanya tuna hasira kali kwa vitu vidogo,natamani siku moja hiyo hasira kali tuitumie kuiondoa serikali inayokubali magari chakavu na pikipiki za chini ya kiwango zinazoua ndugu zetu kila uchao. Pia ata pesa za umma za Eskrow tungezidai kwa hasira kali Bring back our tanganyika
hapo wa dili na bodaboda tu..
 
Comprehensive Insurance itamlipa... Vijana na tanzania wapuuzi sana. Unachoma gari wakati hata hela ya mkate inakupiga chenga... ----!

hapo jamaa anatoa 30 kwa kosa barabarani halafu anataka ndinga yake ni shida..
 
Kuchoma gari ni ujinga maana mhusika atalipwa na bima. Pale wangeenda ita polisi kijulikane nini chafanyika.
Sasa wanasababisha watu wanatembea na Bastola ili kujihami.
Hata mimi ningewaachia gari nitalipwa jingine
 
pangekua na Highway pengine uwezekano wa maafa haya ungekua mdogo,sasa tatizo pesa wamezikalia akina Chenge!na zake pekee tu escrow/Rada nazingetosha kufikisha double road toka njia panda mbuyuni hadi mapinga!

Huu uendeshaji wa bodaboda kwa kutumia maji badala ya bongo kichwani unasababishwa na kukosa barabara mbili??? Hata kungekuwa na barabara mbili hapa mpaka Kenya, kwa uendeshaji wa hawa ndugu zetu tuendelee kusubiri majanga zaidi!!!
 
Kwa hiyo Mkuu Hata kama wewe hupandi Bodaboda, wapo wanaopanda! wengi sana, hata mimi.....wapi bodaboda wapuuzi, wapo wastaarabu, tunaishi nao mtaani...[/QUOTE]

HAKUNA Bodaboda wastaarabu, labda wewe kama sio dereva wa gari. Hawa watu ni hatari lazima utembee na bomba when you are driving, mostly kwenye miji mikubwa, la sivyo atakuovateki kushoto utampiga tairi/side mirror na wanakuvamia watakuibia or worse. Mkuu aliyesema hili ni Jeshi la uasi to come hajakosea
 
Kwa hiyo Mkuu Hata kama wewe hupandi Bodaboda, wapo wanaopanda! wengi sana, hata mimi.....wapi bodaboda wapuuzi, wapo wastaarabu, tunaishi nao mtaani...

HAKUNA Bodaboda wastaarabu, labda wewe kama sio dereva wa gari. Hawa watu ni hatari lazima utembee na bomba when you are driving, mostly kwenye miji mikubwa, la sivyo atakuovateki kushoto utampiga tairi/side mirror na wanakuvamia watakuibia or worse. Mkuu aliyesema hili ni Jeshi la uasi to come hajakosea[/QUOTE]

Ahsante Mtafiti,
 
Hebu tuambie cahanzo cha ajali nini...Maana huenda landcriser ilikuwa haina makosa...Maana boda boda wengi wanakunywa viroba..
yaan hapa dereva wa bodaboda atakuwa na makosa lazima.kila ajali ikitokea utakuta bodaboda ndio chanzo asilimia kubwa. wananchi wengi huwa ukimbilia kumvamia mwenye gari bila kujua chanzo.muda mwingine NI WIVU TU.
 
ningekuwa nipo kitengo cha kupima ajari ningechora hii picha
Mzungu alikuwa kwenye mwendo kasi tairi ikapasuka,bodaboda ilikuwa mbele yake,tairi ilivyopasuka akapoteza mwelekeo akawavaa hao bodaboda,hali ingekuaje asingekuwa kwenye mwendo mkali mpaka gari kumshinda kuidhibiti.Wapuuzi wanaotokwa na povu humu wengi ni madereva tena ambao wanaendesha vile vigari vya kike ndio wanaokazana kuwakandamiza hawa marehemu ambao katika ajari hii walikuwa watendewe haki maana kutokudhibiti gari kwakwe mzungu ndio kumepelekea vijana hawa umauti kuwafikia.Mtu amegonga anatumia tena mguu wa kuku bado mnataka hao raia wafanyaje.Watulie kama si tunavyotulia wajanja wanavyokula mabilioni yetu.Tuwatendeeni haki hawa marehemu povu lisitutoke tu tujikite katika kujua chanzo cha ajari kwanza,sio kushutumu kuchomwa kwa gari najua wengi gari hili limewagusa kwa kuwazia magarI yenu ya mkopo ndio maana tunachangia uzi huu kuwashukia bodaboda
 
Kwa usalama wako kama ukigongana na bodaboda na kama gari haijaumia piga moto gari kwa speed salimisha kituo cha karibu cha polisi. Vingivevyo wanaitana na kuwapigia wenzao wa karibu ili wakufukuzie. Wakukupata utakula kipigo na gariwatakuchomilea vifaa na kukuibia wewe ulivyo navyo na mwishowe gari itakuwa majivu.
 
Ni habari ya kusikitisha sana lakini lililo kuu ni kuwa Tanzania sheria zimebaki kwenye makaratasi, kwenye maisha kila mtu ana sheria yake na haya ndio matokeo. Si pikipiki wala gari, mzungu wala mwafrika, aliye nacho wala asiye nacho!
Wanaoenda mbele zaidi ndio wanasema hii ni dalili ya juu kabisa ya kiitwacho 'a failed state'.
Mh. Zitto wakati anawakilisha repoti ya kamati alitolea mfano wa Congo, Somalia nk na hili tukio la Bunju B halina tofauti sana na kinachotokea katika nchi hizo. Shika ulicho nacho na jua kuwa Tanzania ya leo sio ile uliyokuwa unaiota!
 
Sasa gari linachomwa moto likiwa limefanya kosa gani. Lenyewe linakwenda linakoelekezwa na dereva sasa kwanini lihukumiwe wakati halina utashi? Hii ni sawa Kosa linafanywa na ulimi halafu kichwa ndicho kinachovunjwa!
 
HAKUNA Bodaboda wastaarabu, labda wewe kama sio dereva wa gari. Hawa watu ni hatari lazima utembee na bomba when you are driving, mostly kwenye miji mikubwa, la sivyo atakuovateki kushoto utampiga tairi/side mirror na wanakuvamia watakuibia or worse. Mkuu aliyesema hili ni Jeshi la uasi to come hajakosea

Ahsante Mtafiti,[/QUOTE]
Kweli mkuu hawa boda boda ni watu wasiokuwa na subira. Anataka akupite popote wakati wowote na akikosea wewe mwenye gari ndiye unageuziwa kibao.Hakuna watu wasumbufu barabarani kama boda boda. Wanapokuwa kwenye shughuli zao ni kama akili wameziacha nyumbani. Ukiwa ni dereva unayeendesha gari inapaswa uendeshe kwa tahadhari kubwa huku ukiwachukulia boda boda kama watoto wadogo wanaotambaa ambao wanapaswa kuchungwa kwa karibu sana kwani hawajui lolote kuhusu uhai. Yaani wale hata mwendawazimu ana nafuu maana anaweza kulipisha gari lakini sio boda boda.
 
Kwa madereva wa bodaboda wala sishangai na nilishaapa kutomsaidia dereva wa bodaboda akipata ajali hata kama anafia mbele yangu namuona

Sure, labda abiria wake tu...boda boda driver bi no!!!
 
Back
Top Bottom