Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

Tunatumia nguvu nyingi kulaumu matokeo huku tukikiacha chanzo kimetulia kama maji ndani ya mtungi.
Boda boda zipo ili kuziba void iliyoachwa kutokana na Uzembe wa serikali ya CCM kushindwa kupanga na kusimamia usafiri mijini.
Bodaboda ni sign ya udhaifu wa kufikiri, siku udhaifu huo ukimeza ujasiri tutakuwa na usafiri wa maana mijini na boda boda wataondoka bila kufukuzwa.
kwanza Bodaboda ni sisi wenyewe, bila wasafiri ambao ni sisi hakuna bodaboda.
Bodaboda hawapakii mazimwi wanatupakia sisi wananchi.
Unawaita bodaboda kama huwatumii, wakikupa ride unakuwa usafiri poa.

Jiulize tumefikafikaje hapa tulipo?
Kwa nini mwaka 2000 tu hapa hatukuwa na Bodaboda?
Bodaboda ni matokeo,chanzo ni nini?
 
Baada ya kuunguza gari plate number inaonekana vizuri ili kumpata mmiliki na aliesababisha ajali? RIP Marehemu wote
 
Walivojaa wampige mzungu kapiga risasi juu wakasambaa kaita gari nyingine kafaulisha vitu vyake ndani kasepa bodaboda acha tu

Kama gari lilikuwa linaweza kutembea angeishia zake mpaka kwenye kituo kikuu cha Polisi. Mara nyingi ajali wa nasababisha waendesha bodaboda, ukiona uko na gari alafu ukagongana na bodaboda, wewe ondoa gari, hao bodaboda wanaweza wakakutoa roho. Ukiangalia hapo inaonyesha huyo Mzungu kama alipaki gari pembeni, angejuwa angeishia na gari lake.
 
POleni wafiwa.

Na pia tukumbuke baadhi ya madereva Bodaboda ni Janga lingine la Taifa.

Tuwe makini kipindi hiki ajali ni nyingi.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Hawa ndio vijana wa Lowassa na January makamba.
Hiyo ndo ajira anayoona inawafaa vijana - -hapo kwenye vijana ikumbukwe kwamba wasichana hawamo kwasababu wakina Lowasa hawajui kwamba VIJANA inamaanisha wasichana na wavulana wa umri fulani.
 
Polisi walikuwepo pale daraja la mpigi walikuwa wanauwezo wa kumkata yule Mzungu pili yule mzungu alionekana kama ni mtu msafiri aliyekuwa anawahi ndege sasa polisi wangejiongeza kimawazo nadhani wangefanikiwa kumkamata
 
Madereva wa boda boda akili zao wanaziacha nyumbani barabarani huwa wanatumia petrol na viroba kufikiria.........
 
Mmmmmh ni hatarii
 
Attachments

  • 1418384049831.jpg
    1418384049831.jpg
    34.9 KB · Views: 882
Raia na hasira bwana,unakimbilia kuchoma gari ukifikiri unamkomoa au ndo njia ya kumalizana na aliyegonga,watu wengine magari yao yana bima kubwa akitoka hapo anaenda kuchukua lingine.Mimi nafikiri hasira hizi tungezielekeza kwenye kudai mambo ya msingi yasiyotimizwa na serikali.
 
wajinga kbisa hao bodaboda,asilimia kubwa ya ajal chanzo ni wao na nshaweka ahad siku wakijipendekeza napiga mtu risac ya t....ko!!
 
Madereva wa boda boda akili zao wanaziacha nyumbani barabarani huwa wanatumia petrol na viroba kufikiria.........
Hakika! Maana sielewi inakuwaje watu wanasahau thamani ya maisha yao kwa kujitoa akili; mwisho wa siku wanakumbwa na umauti na vilema vya maisha wakati wenye magari wanasubiria the next victim if not the next Indyooot!
 
Tatizo la hawa bodaboda ni upungufu wa elimu, wanapaki kokote anaweza akawasha indiketa ya kulia akakata kushoto, then traffic wetu wao wakiwakamata kitu kidogo yamekwisha hata kama hana leseni kabisa, wanafundishana asubui jioni anabeba abiria, polisi lazima liwachukulie sheria wote wanaojichukulia sheria mikononi na wakati mwingine bodaboda ndio chanzo cha ajali..!!
 
Raia na hasira bwana,unakimbilia kuchoma gari ukifikiri unamkomoa au ndo njia ya kumalizana na aliyegonga,watu wengine magari yao yana bima kubwa akitoka hapo anaenda kuchukua lingine.Mimi nafikiri hasira hizi tungezielekeza kwenye kudai mambo ya msingi yasiyotimizwa na serikali.

na hayo ya msingi wasiyodai ndio yanawafikisha kuwa na akili hizi....ajali imetokea mnachoma mtoto gari,sasa ndio unamkomoa nani???!!! wengine hayo magari wanayachoma wenyewe walipwe na bima sasa hawa wanawasaidia!
 
Tunatumia nguvu nyingi kulaumu matokeo huku tukikiacha chanzo kimetulia kama maji ndani ya mtungi.
Boda boda zipo ili kuziba void iliyoachwa kutokana na Uzembe wa serikali ya CCM kushindwa kupanga na kusimamia usafiri mijini.
Bodaboda ni sign ya udhaifu wa kufikiri, siku udhaifu huo ukimeza ujasiri tutakuwa na usafiri wa maana mijini na boda boda wataondoka bila kufukuzwa.
kwanza Bodaboda ni sisi wenyewe, bila wasafiri ambao ni sisi hakuna bodaboda.
Bodaboda hawapakii mazimwi wanatupakia sisi wananchi.
Unawaita bodaboda kama huwatumii, wakikupa ride unakuwa usafiri poa.

Jiulize tumefikafikaje hapa tulipo?
Kwa nini mwaka 2000 tu hapa hatukuwa na Bodaboda?
Bodaboda ni matokeo,chanzo ni nini?

aisee...bila abiria hamna bodaboda....zinawachinja lakini bado wanapanda!! nitaendelea na daladala tu mpaka kieleweke
 
Boda boda ni tatizo sana , wengi ni majambazi tu I wish zipigwe marufuku tu
 
Back
Top Bottom