Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

Ni kweli Mkuu sijui niongealo, lakini hujajibu hoja yangu hata moja kiasi cha kuja na generalization,

Ajali imetokeaje? actually wote hatujui kati ya mzungu na hao madereva nani ana makosa....

Ukiiangalia picha kwa makini waliokuwepo pale si wote walikua bodaboda, na hata mleta mada amesema waliochoma gari ni WANANCHI,

Mzungu anaweza kua alikua ana makosa! unakataa? wonderful!...... amepiga risasi hewani amefaulisha mizigo yake kwenye gari nyingine akatembea anawaachia a black corpse kwa ajili ya mazishi.....

Katika Ignorant Society kama hii ya kwetu uamuzi wa haraka ilikua ni kupata mob satsfaction, nayo ni kuchoma gari hilo ......la bima ni geni kwa sisi masikini, na kwa sababu tunaamini hangechukuliwa hatua huyo mzungu then what could we do? na tunaliona gari la thamani Choma moto, hata Fergeson wanachoma moto the same!.....

Kwa hiyo Mkuu Hata kama wewe hupandi Bodaboda, wapo wanaopanda! wengi sana, hata mimi.....wapi bodaboda wapuuzi, wapo wastaarabu, tunaishi nao mtaani...

Well your thread is attacking racism and not the situation at hand. Waliochoma gari ni boda boda ingawa wananchi wengi walikuwa wakishuhudia.
By the way ingekuwa ya mhindi, mwarabu, mwafrika mwenzio thread yako ingekaaje??
 
Sijajua police wetu wanasimamia nini huko barabarani hapa mpiji panaongoza kwa bodaboda kupakia mishikaki abiria watatu hadi wanne! Hii ni dhairi dereva wa bodaboda akiwa na abiria watatu hadi wanne anakosa balance ya kuendesha pikipiki husika na ndio inakuwa chanzo kikubwa cha ajali hizi na uharibifu wa mali na pia upotefu wa maisha polisi mjitafakari mfanye kazi kwa weledi
 
Trafiki wa pale mpigi kazi yao kubwa ni kupokea buku mbili 2000 za rushwa kwa kila scania ya mchanga a k a tipper ni tena wanapokezana
 
Wana Jamvi,

Jana kulikuwepo prukushani ya nguo kuchani baada ya Jeshi la Polisi kuwavamia bodaboda wa bunju A shule na kukamata baadhi yao, Inasemekana boda boda wakishafanya fujo sehemu huwa wanahama kituo kwa muda.

Hali hii imesababisha boda boda Nyingi kuamia sehemu moja, janja hii polisi washaishutukia jambao ambalo liliwafanya kuvamia kituo kimoja wapo hapo Bunju.

Nikiwa nimetoka kama dakika chache hapo bunju A shule baa ya Parking ilikuwa imejaa sana watu wakifurahi weekend na kuburudishwa na bia ya tusker ambayo ilikuwa kwenye promotion ya nunua bia kwa Tshs 2000 tu, dakika chache baada ya milio bodaboda wengi walikimbilia mitaa ya ndani ndani kujificha.

Chanzo cha kujificha ni kile kitendo cha kuchoma gari lilikuwa likiendeshwa na mzungu kisha likapata pancha na kuyumba na kuparamia watu waliokuwa wamebebena misiri ya mishikaki.

Tukio hilo lilikuwa la kusikitisha shana kwani uamuzi wa wanaboda boda haukuwa mzuri wa kujichukulia sheria mkononi, kwa sasa boda boda wanahaha kutafuta makazi mapya ya kujificha.

Katika tukio jingine, watu walidaiwa kunasia, hii habari ni ya uongo tu walikuwa wamekamatwa ugoni wa kawaida tu kwenye gest jina kwenye kapu.
 
Mbona nchi inaongozwa na watu wenye akili mbaya mara 1000 ya waendesha bodaboda lakini ndimi zenu zimejiviriga vinywani mwenu kama mmekunywa uji wa SuperGlue bila kujua?

Mijitu inaiba hela za TANESCO Tshs 350,000,000,000.00 umeme ushwazini kwenu unapigwa mgao kila siku,
kwa ununda mnaendeleza tabasamu kama mmeahidiwa pepo na baraza la mawziri.

Mnasubiri kwa hamu sana ajali ya bodaboda itokee ndipo mmalizie hasira zenu za kuwasha vibatali kwao.

Huu nao ni udhaifu wa kuonea Dagaa wa Ziwa Tanganyika na kutishika na Sangara wa Ziwa Victoria
 
Tatizo ni umasikini wa kufikiri.
Watu wanaiba mapesa Serikalini mengi ya kujenga viwanda kadhaa.
Matumizi ya hizo pesa ni kuopoa wake za watu na kwenda kukata nao Mtaa Dubai.
Vibox manyoya na Mipini ndo project kuu za wezi.
Waone sasa wakinywa wanzuki wa kwenye chupa wakijisifu.

Aaa yulemke wa nani nilimfyekea pale Hyatt Dubai.
Na mke wa karani wangu kwa jinsi alivyo bomba nilimlia Burj Al Arab

burj-al-arab.jpg

Na mke wa jirani yangu yeye nilimrarua pale Dubai Luxary hoteli.
Jumeirah-Beach-Hotel.jpg

Mmmmm!
 
Acha kuficha maneno tukio la ajali limitokea saa saba mchana mpaka saa nane na suala la watu kufumaniwa kuwa wamenasana limetokea njia ya kuelekea mwabwe pande a k a msitu wa bibi ukichepuka kidogo kutokea barabara ya bagamoyo kuelekea kushoto kuna gest inaitwa pentagon ndio watu walikuwa wamejaa sana mida ya saa12 na nusu jioni na ukija hapa kituo cha polisi bunju ndio kulikuwa na watu wengi wamejazana wakizani wazinzi wamo polisi na ukija pale parking bar watu waliojaa pale bar ni madalali wa gari za michanga na madereva na ni kawaida kujaa pale na sio kwa ishu ya ugoni
 
Tatizo ni umasikini wa kufikiri.
Watu wanaiba mapesa Serikalini mengi ya kujenga viwanda kadhaa.
Matumizi ya hizo pesa ni kuopoa wake za watu na kwenda kukata nao Mtaa Dubai.
Vibox manyoya na Mipini ndo project kuu za wezi.
Waone sasa wakinywa wanzuki wa kwenye chupa wakijisifu.

Aaa yulemke wa nani nilimfyekea pale Hyatt Dubai.
Na mke wa karani wangu kwa jinsi alivyo bomba nilimlia Burj Al Arab

burj-al-arab.jpg

Na mke wa jirani yangu yeye nilimrarua pale Dubai Luxary hoteli.
Jumeirah-Beach-Hotel.jpg

Mmmmm!

Duuh akili umepeleka likizo

Happy Christmas and Merry New Year
 
Kwa madereva wa bodaboda wala sishangai na nilishaapa kutomsaidia dereva wa bodaboda akipata ajali hata kama anafia mbele yangu namuona

Huna ndugu au rafiki yako ambaye ni bodaboda? Hongera....
 
Pole wafiwa wote,
Pole waliopoteza mali zao pia.

Dar ukiona umegonga mtu akafa ni heri uache gari wahangaike nalo wewe uokoe roho yako.
 
Well your thread is attacking racism and not the situation at hand. Waliochoma gari ni boda boda ingawa wananchi wengi walikuwa wakishuhudia.
By the way ingekuwa ya mhindi, mwarabu, mwafrika mwenzio thread yako ingekaaje??

Usihangaike na racism, kama kuna mtu amekudanganya hakuna racism basi jua amekuuza, racism ipo Though inatofautiana kwa baadhi ya nchi..

So angalia my Points usiconstructs your meanings Sir!
 
Jamii forum bwana! muda mwingine unafiki wa watu humu unapanda hadi geji ya mwisho, ni vibaya sana...
Mbaya zaidi hakuna aliyeongelea ajali imetokeaje kuonyesha nani alikua ana makosa kati ya Mzungu na hao Bodaboda 3 ( Mungu awarehemu).....

Assumptions zilizotengenezwa hapa nyingi ni za Ki layman tu, eti kosa la bodaboda! mbona mnapenda kugeneralize, mnajua uchungu walionao hao waliowapoteza wapendwa.wao?

Kwani boda boda wote hapa Tanzania wanaendesha vibaya, bodaboda zimeanzia Tanzania kwani? afu nyie wenyewe wanafiki humu ndio wa kwanza kupanda, iambie serikali yenu iweke mikakati mizuri jinsi ya kuwahandle bodaboda na sio blabla za kinafikifiki tu, hiyo ni ajira na wanasomesha kama nyie mnavyofanya....

Eti wangetumia nguvu hiyo kwenye issue ya Escrow, nyie mmefanya nini cha maana zaidi ya kutoa mapovu nyuma ya keyboard! kwani hili ni taifa la bodaboda, huu ugonjwa wa kutupiana mizigo ndio unaofanya mpaka wezi wanakwiba tu.....
Tupe assumptions zako zako za kisomi mkuu. Bodaboda tatu zagongwa kwa Mkupuo zikiwa barabarani. Wengine tumetoa assumptions za 'ki-layman'
 
Kwa madereva wa bodaboda wala sishangai na nilishaapa kutomsaidia dereva wa bodaboda akipata ajali hata kama anafia mbele yangu namuona

Walikufanya nini ndugu yangu? Maana..
 
Tupe assumptions zako zako za kisomi mkuu. Bodaboda tatu zagongwa kwa Mkupuo zikiwa barabarani. Wengine tumetoa assumptions za 'ki-layman'

Acha kulalamika jenga hoja, usomi hata MUhongo msomi:sick:
 
Acha kulalamika jenga hoja, usomi hata MUhongo msomi:sick:
GAUTAMA usirukie hoja usizozifahamu. Soma comments za watu. Mwenzako kawa tagged ili ajibu na bado yupo kimya, wewe wakurupuka tu.
 
Last edited by a moderator:
Bodaboda ni noma!
Kuna jamaa aliyekuwa akiendesha noah alimgonga boda mmoja pale national, mwanza, walimkimbiza jamaa hadi kona ya bwiru wakamdaka, unajua walimchoma jamaa ndani ya noah!!
Yan wale wako radhi kuweka full tenki wakukimbize hata kwa umbali wa km60.

Mnaosema kwamba unatakiwa kutoka nduki na gari lako, sio kwa miji yenye foleni kama dar, mza etc watakukamata tu.

Mi mwenyewe napandaga hizo boda, yan huwa namuomba Mungu tu nifike salama.
 
Tanzania bhana, badala ya kuwaua wezi wa Escrow, EPA n.k tunachukua hatua kali kwa matukio ambayo athari zake zinaweza kuwahusu watu 10 tu!

Hata angekuwa AG gari lingepigwa kibiriti. Hao madogo wa bodaboda wanashirikiana kama nyuki.
 
Back
Top Bottom