Acheni utoto mnakuwa kama hamjaota mvz IVijana wa mwendazake mnajitahidi sana kumchafua mama SSH. Wapi kwenye tangazo wameandika kuwa kuna ajali ya moto?
Hujaelewa soma vizuri hiyo taarifa hakuna moto hapoTangazo la moto kuunguza mifumo ya kukusanya kodi la tra linaharufu ya rushwa
Itoshe tu kusema wizi umerejea kwa kasi sana sio ujambazi wa siraha tu na ujambazi wa kisomi
USSRView attachment 1777340
Tatizo sio mama kuwa mkali, tatizo ni kutaka kutuaminisha kuwa hiyo hitilafu imetokea kwa kuwa Magufuli kafa. Hata kipindi cha magu htilafu zilikuwa zinatokea, ila haikuruhusiwa kutoa taarifa kwa umma. Mwaka juzi mwezi wa nne kwenye mfumo wa malipo wa TANAPA/NCAA ilitokea hitilafu malipo hayakufanyika zaidi ya wiki. mbona hatukusikia hizi kelele zenuAcheni utoto mnakuwa kama hamjaota mvz I
mama awe mkali adeal na waliopo kwenye mamlaka
Saga kama hii kamishna asipochukua hatua kali dhidi ya uzembe mama inabidi ashuke nae mzima mzima...Acheni utoto mnakuwa kama hamjaota mvz I
mama awe mkali adeal na waliopo kwenye mamlaka
Nyie kipindi cha Jiwe DPP aliposema ofisi yake imeibiwa Laptop zenye majina na amount ya pesa waliolipa hao wahujumu uchumi ilikua sabotage?Tulijua na bado ,Kifo cha Magufuli hizi ndio ajenda zilizojificha
Sukuma gang ni kundi hatari sanaTulijua na bado ,Kifo cha Magufuli hizi ndio ajenda zilizojificha
Hili kundi inabidi lidhibitiwe mapema sana bila hivyo unaweza kukuta washajiita interahamweVijana wa mwendazake mnajitahidi sana kumchafua mama SSH. Wapi kwenye tangazo wameandika kuwa kuna ajali ya moto?
sasa hivi hata wakikuta mtu kalewa akajikojolea wanasema yote hiyo ni kwa kuwa magufuli kafaHili kundi inabidi lidhibitiwe mapema sana bila hivyo unaweza kukuta washajiita interahamwe
Hitilafu ya umeme na sio moto kumbe ndio maana TANCIS inasumbua tangu asubuhi.Tangazo la moto kuunguza mifumo ya kukusanya kodi la tra linaharufu ya rushwa
Itoshe tu kusema wizi umerejea kwa kasi sana sio ujambazi wa siraha tu na ujambazi wa kisomi
USSRView attachment 1777340
Hawa jamaa walikuwa na nia mbaya sana na tanzania.sasa hivi hata wakikuta mtu kalewa akajikojolea wanasema yote hiyo ni kwa kuwa magufuli kafa
Mama kamrudisha KIDATA wakati ni Sukuma GangTangazo la moto kuunguza mifumo ya kukusanya kodi la tra linaharufu ya rushwa
Itoshe tu kusema wizi umerejea kwa kasi sana sio ujambazi wa siraha tu na ujambazi wa kisomi
USSRView attachment 1777340