Ajali ya manufaa

Totos Boss

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
5,456
1,565
Wengi mtaomba mngekuwepo eneo la ajali.
IMG_20190907_210829.jpeg
 
Hivi hizo ni nini??
Kama ni pesa basi ujue polisi walishafunga utepe wao na wanalinda kwa silaha kali sana...

Hakuna binadamu anayeweza chukulia poa pesa hio
 
Hela nyingi Kama hizo huwezi safirisha kiholela na mgali Kama huo labda Kama hakuna uharifu was Hali ya juu..
 
Hela nyingi Kama hizo huwezi safirisha kiholela na mgali Kama huo labda Kama hakuna uharifu was Hali ya juu..
Intelijensia ilikuwa kazini sema tu ajali imeharibu, umeona gari lilivyo andikwa?
 
Pesa kwenye gari la Kuku? huo uzembe hata huku kusini mwa jangwa la Sahara hatujawahi kufanya sembuse huko kulikoungua shoka.
 
Back
Top Bottom