Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

Right, huyo Mallya ni kwamba Mbunge alienda akachukua mtu amuendeshe wakati hana leseni. Irresponsible. Huyu dereva wa aliyetelekezwa na Mwakyembe na atoe full testimony kama alikuwa under duress ya bosi.

Khaaa! wajemeni.....hapo kny bold sijui ulidhamiria kusema hivyo au vidole vimetelezea kwingine?
 
... sasa unataka kumlaumu mgonjwa kwa maamuzi ya watu wengine.! Unataka Mwakyembe atoke kitandani na kuanza kufuatilia kila kitu yeye mwenyewe?

Hao waliotoa maamuzi hayo ya kinyama hawana leadership stake yeyote, hao sisi hatuwajali.

Mwakyembe ndio mtu wetu, tunaambiwa yuko na fahamu zake nzima nzima. Kama ni kiongozi anaebeba matumaini ya wananchi kama anavyowekwa kwenye kiti cha enzi na kila mtu, basi angeonyesha leadership, angesema kutoka kitandani, jamani mnanipeleka Muhimbili, mwenzangu yuko wapi, kapona? Kama kaumia zaidi, anakuja na mimi kwa ma specialists? Tusimtelekeze mwananchi wangu.

Anashindwa hata ku score vi political points kufeki anajali? Unaenda kwa specialist mwananchi wako polisi?
 
I'm worried na hawa madereva wa mawaziri na wabunge ... look at Salome Mbatia's accident ... Chacha Wangwe's ... Zito kukoswakoswa ... and many others! can't these drivers be bribed ili wawapoteze wapiganaji???? aren't they intelligency affiliates?? who hires them??? some of these drivers waweza kuwa wanalipwa mshiko mkubwa ili kutekeleza mipango ya wakuu wa nchi ....

You are right, Kama wasomi wa JF wanaweza kununuliwa na kutetea Mafisadi, itashindakana na dereva!! Akihakikishiwa kuwa Mil. 100 zile pale fanya ufanyalo ili mradi mpinga fisadi afe anaweza kabisa.

All the best Dr. Mwakyembe mpiganaji wetu wa haki tunayekutegemea.
 
Yote yanawezekana mkuu, kwani hujasikia salamu za pole kutoka TBC? halafu wajameni, hivi hiyo TBC namna gani? hadi salamu za watu zinarushwa ama zimelipiwa? and what is special na hizo salamu why him?

Aliyetuma salamu ndiye rais wenu , kwani hamjui !!!!! ni lazima atumie TV ya Taifa. !!!! kwani hukuona siku alivyotoa press TBC yake ilivyochukua muda mrefu kumwelezea!!!
 
habari nilizozipata kutoka Iringa ni kuwa dereva alitibiwa na kuruhusiwa kwa sababu hali yake haikuwa mbaya sana

Hii uliona mkuu Dilunga?

Hao waliotoa maamuzi hayo ya kinyama hawana leadership stake yeyote, hao sisi hatuwajali.

Mwakyembe ndio mtu wetu, tunaambiwa yuko na fahamu zake nzima nzima. Kama ni kiongozi anaebeba matumaini ya wananchi kama anavyowekwa kwenye kiti cha enzi na kila mtu, basi angeonyesha leadership, angesema kutoka kitandani, jamani mnanipeleka Muhimbili, mwenzangu yuko wapi, kapona? Mwananchi wangu kauimia zaidi, yuko wapi? Sio kumtelekeza kama hivyo.

Anashindwa hata ku score vi political points kufeki anajali? Unaenda kwa specialist mwananchi wako polisi?
 
Hao waliotoa maamuzi hayo ya kinyama hawana leadership stake yeyote, hao sisi hatuwajali.

wewe na nani?

Mwakyembe ndio mtu wetu, tunaambiwa yuko na fahamu zake nzima nzima.

Mtu akiwa mgonjwa kapata ajali lakini ukiambiwa kuwa ana fahamu zake ina maana gani? kwamba anaweza kuandika thesis, kutoa hotuba, kupanga bajeti ya nyumba yake n.k?

Kama ni kiongozi anaebeba matumaini ya wananchi kama anavyowekwa kwenye kiti cha enzi na kila mtu,

Umejuaje kuwa ni na "kila mtu"? wewe ni mmoja wao wanaofanya hivyo?
basi angeonyesha leadership, angesema kutoka kitandani, jamani mnanipeleka Muhimbili, mwenzangu yuko wapi, kapona?

Umejuaje hajauliza, au unataka kila neno analolitoa liandikwe kitabuni na kutangazwa magazetini? Kama ameuliza na akaambiwa "apumzike kwa wakati huu asijaribu kuzungumza" unataka afanye nini aruke toka kitandani na kuanza kuthrow a fist kwamba kwanini wanamnyamazisha?
Mwananchi wangu kauimia zaidi, yuko wapi? Sio kumtelekeza kama hivyo.

Unamlaumu asiyestahili katika hili? mgonjwa hawezi kumtekeleza mgonjwa mwingine!

Anashindwa hata ku score vi political points kufeki anajali? Unaenda kwa specialist mwananchi wako polisi?

political points wakati maisha yake yako hatarini na ya wengine vile vile. Political points to what end?
 
Could this accident be a setup?

Inawezekana kabisa. Mafisadi hawashindwi kabisa kutumia mabilioni yao ya kifisadi kutoa roho ya mtu ambaye wanamuona ni tishio. Get well soon Mwakyembe, bado tunakuhitaji katika vita dhidi ya mafisadi.
 
MMungu mpe uzima wa haraka Dr Mwaykembe. Naimani WATANZANIA hawatokuja na mawazo na kuanza kusema eti Mganga wa ROSTAM AZIZI ndio ameanza kazi aliyotumwa.
 
Si tuliambiwa dereva ndio kaumia zaidi, ataendaje chini ya ulinzi halafu mbunge aende kwa medical specialists Dar? Dereva, usikubali huu unyama kabisa. Naomba useme yote unayoyajua kuhusu kumuendesha huyo bosi.

Wakati wa ajali ya waziri Mbatia iliyotokea mitaa hiyo hiyo ambacho hakikusemwa japo ilikuwa ni open secret Wizarani ni kwamba Mkuu alikuwa na hulka ya kuwatia pressure madereva wakimbize ili wafike haraka.

Kama ndio haya haya, dereva toa full testimony ya kila kitu, wasitake kabisa kukuletea huu unyama kiongozi mwakilishi wako kukimbia Muhimbili kukuacha mwanachi unaoza hapo na tunaambiwa wewe ndio umeumia zaidi.
Ndugu yangu pitia vizuri maelezo, au soma habari ya jamaa wa Iringa kwenye blog yake wametoa link, ameelezea yaliyotokea. Baada ya hapo ndiyo uanze haya maelezo yake si vizuri kuhukuma kama hujafanya utafiti wa kutosha. Ajali ni kitu cha kawaida kabisa katika nchi zetu ambazo barabara zetu ni mbovu. Kama umesafiri barabara ya Dar Mbeya utakubaliana nami, naweza kusema hii barabara imeharibika sana hasa kipande cha Iringa mjini mafinga ukiachilia mbali kipate cha iyovi mpaka iringa mjini ambacho ukarabati wake umeanza pia hizi barabara zetu hazina alama zote za barabarani ambazo zingweza kusaidia kuonyesha tahadhari. Pia wakati mwingine husababishwa na uzembe wa madereva kutofuata alama za barabarani na kanuni za kuovertake. Naungana na wana JF wenzangu kumpa pole mheshimiwa Mwakyembe pamoja na dereva wake, mungu awape nguvu ili wawe na afya njema.
 
Hii uliona mkuu Dilunga?

habari nilizozipata kutoka Iringa ni kuwa dereva alitibiwa na kuruhusiwa kwa sababu hali yake haikuwa mbaya sana

Mkuu Next Level, na wewe uliiona hii?

Amezinduka...Ameumia taya...Hayuko hatarini...Vibaka wamewaaibia kila k2...dereva wake ameumia vibaya...

Na hii?

Taarifa ya habari TBC saa 10 jioni. Dk MWakyembe hajaumia sna ila ana michubuko na anaongea. Daktari anayemtibu (alizungumza live) anasema kuwa amevimba usoni inaonekana alijigonga sana wakati wa ajali ila hajavunjika sehemu yoyote.

Hiyo hapo radio ya nchi inasema Mkuu ana michubuko michubuko tu. Sasa alikuja kuvunjika mifupa hospitali baadae, au? Anaenda kwa ma specialist Muhimbili mwananchi wake kamtelekeza, unyama kabisa huu.
 
Sasa nimejiridhisha kuwa Mwakyembe hayupo katika hatari, akili yangu imeanza kurudi nyuma na kutazama yaliyotokea. Nimeiangalia picha ya shimo lilosababisha ajali na kuanza kujiuliza: linastahili kweli kusababisha tairi la land cruiser kung'oka? Sayansi yangu fupi inanionyesha kuwa gari linapokuwa katika mwendo wa kasi, kuna kitu waswahili tunakiita 'kufukia mashimo' ikimaanshisha kuwa mashimo madogo madogo (kama hili lililoonyeshwa kwenye picha) unaweza kuyaruka bila aliyeko kwenye gari kuhisi kuwa mmepita kwenye shimo. Sasa inakuwaje shimo kama hilohilo, lisababishe tairi kung'oka wakati gari kiliwa katika mwendo kasi?
Hivi pale Makambako gari lilihifadhiwa sehemu gani?
 
Tunamuombea apone haraka mpiganaji wetu kama ajali ina nguvu za giza wameshindwa na nguvu za Bwana zinajidhihirisha.
 
Kuna ajali mbaya sana imetokea Ihemi maeneo ya Iringa karibu na kijiji cha Ifunda ambayo inamhusisha Dr. Mwakyembe

Taarifa zaidi zinafuatia:

Picha ni hizi

i388_2.JPG

Dr Mwakyembe akifikishwa hospitali ya mkoa wa Iringa leo baada ya ajali

i389_Gari.JPG

Gari la Dr Mwakyembe likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali

i390_Shimo.JPG

Shimo lililosababisha ajari ya Dr Mwakyembe

Hilo shimo mbona hata si kubwa kihivyo? Tena kwa SUV this time Land Cruiser! Dawa ya shimo kama hilo ni kulivaa na si kujaribu kulikwepa,nilipokwenda bongo nilikuwa nikiendesha kutoka Dar towards Moshi/Arusha nilikutana na situation kama hiyo kabisa,sikuwa na SUV,ilikuwa ni sedan,niliamua kulivaa shimo hilo ambalo lilikuwa limechimbika zaidi ya hilo hapo juu,shimo kubwa kiasi cha kwamba sikuamini kwamba ni kivipi liendelee kuwepo hapo licha ya hatari inayotokana na shimo hilo. Mimi sikuwa na overtake,ila nilikuwa napishana na Fiat Trailer,coincidentaly,gari niliyokuwa nikiendesha ilipishana na Fiat hiyo exactly kwenye eneo la shimo hilo,ningejaribu kulikwepa labda yangekuwa mengine,labda ingeweza kusababisha ajali mbaya kabisa.
Kwa upande wa shimo hilo lililosababisha ajali hiyo "Mbaya" ya Mwakyembe linaonekana kama ni dogo,labda dereva alikuwa kwenye speed kali na pia kama ni kweli, maamuzi ya kujaribu kulikwepa shimo hilo hayakuwa ya busara.
 
Mkuu Next Level, na wewe uliiona hii?

Na hii?

Hiyo hapo radio ya nchi inasema Mkuu ana michubuko michubuko tu. Sasa alikuja kuvunjika mifupa hospitali baadae, au? Anaenda kwa ma specialist Muhimbili mwananchi wake kamtelekeza, unyama kabisa huu.

Kaziiiii kweli kweli, Ukishakula pesa ya Fisadi ina leta mateso sana, maana inabidi utetee hata ujinga ili mradi akusikie na kukupa mshiko wako!! Duhhh lakini aibu sanaaaaaaaaa!!
 
Sasa nimejiridhisha kuwa Mwakyembe hayupo katika hatari, akili yangu imeanza kurudi nyuma na kutazama yaliyotokea. Nimeiangalia picha ya shimo lilosababisha ajali na kuanza kujiuliza: linastahili kweli kusababisha tairi la land cruiser kung'oka? Sayansi yangu fupi inanionyesha kuwa gari linapokuwa katika mwendo wa kasi, kuna kitu waswahili tunakiita 'kufukia mashimo' ikimaanshisha kuwa mashimo madogo madogo (kama hili lililoonyeshwa kwenye picha) unaweza kuyaruka bila aliyeko kwenye gari kuhisi kuwa mmepita kwenye shimo. Sasa inakuwaje shimo kama hilohilo, lisababishe tairi kung'oka wakati gari kiliwa katika mwendo kasi?
Hivi pale Makambako gari lilihifadhiwa sehemu gani?

Mkuu Mpita Njia naungana nawe kwamba shimo linaloonekana kwenye picha ni dogo sana kusababisha ajali mbaya kama hiyo hasa kwa gari ya kazi kama landcruiser. Hata hivyo maelezo ya dereva anasema kuwa, wakati yupo kwenye jitihada za kukwepa shimo, lori likagonga kwa nyuma na kusababisha gari kupinduka mara 4. (Hii ni kwa mujibu wa bbc/swahili

Na kama ni kweli tairi lilichomoka, basi clue ya mahali lilipolala gari (Makambako) ni muhimu.
 
Sasa nimejiridhisha kuwa Mwakyembe hayupo katika hatari, akili yangu imeanza kurudi nyuma na kutazama yaliyotokea. Nimeiangalia picha ya shimo lilosababisha ajali na kuanza kujiuliza: linastahili kweli kusababisha tairi la land cruiser kung'oka? Sayansi yangu fupi inanionyesha kuwa gari linapokuwa katika mwendo wa kasi, kuna kitu waswahili tunakiita 'kufukia mashimo' ikimaanshisha kuwa mashimo madogo madogo (kama hili lililoonyeshwa kwenye picha) unaweza kuyaruka bila aliyeko kwenye gari kuhisi kuwa mmepita kwenye shimo. Sasa inakuwaje shimo kama hilohilo, lisababishe tairi kung'oka wakati gari kiliwa katika mwendo kasi?
Hivi pale Makambako gari lilihifadhiwa sehemu gani?

...Ohh, usisahau kwenye conspiracy theories lazima ujiulize

1. kwanini 'wameliweka' shimo hilo pale
2. Kwanini dereva wa lori 'alitegea' mpaka karibia na hilo shimo ndio amruhusu dereva wa Mwky ku- overtake!
3. Kwanini dereva wa Mwky 'hakusimamisha gari' alipoliona shimo hilo
nk, nk... halafu utajikuta unapata jibu saafi kabisa!
 
Back
Top Bottom