Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

Wengine wamebaki nje wanasubiri kupewa taarifa ya nini kinaendelea.

Only in Tz, au ndio utamaduni tuliojijengea wa kukosesha wagonjwa pumzi? ndio kujionyesha kwamba wana mapenzi na mshikamano sana? Nashangaa watu kuacha kazi na kuja mnyanyapaa mwenzao majeruhi.

Huu ni mtizamo wangu, msilete chuki...hata na majirani.
 
Kuna ajali mbaya sana imetokea Ihemi maeneo ya Iringa karibu na kijiji cha Ifunda ambayo inamhusisha Dr. Mwakyembe

Taarifa zaidi zinafuatia:

Picha ni hizi

i388_2.JPG

...msukuma kitanda utadhani ni 'masanja' mbangaizaji!
Mlioko IR, Hali ya dereva inaendeleaje? ingefaa naye aletwe Muh'2 jamani!

Poleni sana.
 
...msukuma kitanda utadhani ni 'masanja' mbangaizaji!
Mlioko IR, Hali ya dereva inaendeleaje? ingefaa naye aletwe Muh'2 jamani!

Poleni sana.

Dereva yupo chini ya ulinzi wa Polisi wakati Mheshimiwa kakodiwa ndege yupo Dar na kesho utasikia maneno India!

Ndio Bongo.

Invisible

Unaposema "hata" Masilingi nae yupo una maana hastahili kuwepo hapo? au vp?
 
...oh oo! kwa kosa gani tena yarabi? ...hata mimi nisingejua pana shimo pale mpaka hivi leo nilipoliona kwenye globu!
 
...msukuma kitanda utadhani ni 'masanja' mbangaizaji!
Mlioko IR, Hali ya dereva inaendeleaje? ingefaa naye aletwe Muh'2 jamani!

Poleni sana.
habari nilizozipata kutoka Iringa ni kuwa dereva alitibiwa na kuruhusiwa kwa sababu hali yake haikuwa mbaya sana
 
Invisible

Unaposema "hata" Masilingi nae yupo una maana hastahili kuwepo hapo? au vp?
Kyeleuwiii!

Hapana bwashee, sikumaanisha hivyo. Nielewe kirahisi tu, kuwa naye kafika kuungana na waliompokea Mwakyembe.

Mbe...!
 
Watanzania mambo yetu ni amani na utulivu hakuna uhasama: Utaona hata wale wanaoitwa wabaya wake watakuwa pamoja naye kumtakia mema. Ndio maana hata gari lililombeba naambiwa ni la Ultimate Security, kampuni inayomilikiwa na Tanil Somaiya. Hii ndiyo Tanzania na hawa ndio Watanzania, ambao udugu haufi, hasa katika matatizo. Amini usiamini. Hata kama mtu ana lake jambo ndani ya kifua, hadharani MSHIKAMANO DAIMA
 
...msukuma kitanda utadhani ni 'masanja' mbangaizaji!
Atakuwa mjomba ake Masanja anae gema Ulanzi pale Tanangozi.
Dereva kachemka kujitetea anasema lori lilikuwa linamfuata kwa nyuma na likamgonga mtasikia mengi wakuu.
 
Pole sana Mzalendo Mwakyembe! Naamini Mwenyezi Mungu atakujalia afya njema ndani ya siku chache ili tuendelee kwa pamoja kuvipigana hivi vita vitakatifu dhidi ya mafisadi wa nchi yetu! AMEN!
 
Pole sana mpiganaji. Wananchi wale wanaoitwa " wananchi wa kawaida" tunakuhitaji now more than ever!

Get well soon!
 
Dereva yupo chini ya ulinzi wa Polisi wakati Mheshimiwa kakodiwa ndege yupo Dar na kesho utasikia maneno India!

Si tuliambiwa dereva ndio kaumia zaidi, ataendaje chini ya ulinzi halafu mbunge aende kwa medical specialists Dar? Dereva, usikubali huu unyama kabisa. Naomba useme yote unayoyajua kuhusu kumuendesha huyo bosi.

Wakati wa ajali ya waziri Mbatia iliyotokea mitaa hiyo hiyo ambacho hakikusemwa japo ilikuwa ni open secret Wizarani ni kwamba Mkuu alikuwa na hulka ya kuwatia pressure madereva wakimbize ili wafike haraka.

Kama ndio haya haya, dereva toa full testimony ya kila kitu, wasitake kabisa kukuletea huu unyama kiongozi mwakilishi wako kukimbia Muhimbili kukuacha mwanachi unaoza hapo na tunaambiwa wewe ndio umeumia zaidi.
 
...kabisaaa, ndio mambo kama haya yaliyomponza Deus Mallya.
 
Kuna taarifa nimepata kwa juu juu tu kuwa Mh. Dr Mwakyembe amepata ajali na sina taarifa kamili juu ya hali yake, vipi kuna mtu anataarifa kamili jamani. Atupe taarifa jamani maana ni moja ya viongozi waliotupa vitu adimu katika nchi yetu na kuleta mageuzi kwa kiasi fulani. Naomba kuwasilisha taarifa wanaJF.
 
...kabisaaa, ndio mambo kama haya yaliyomponza Deus Mallya.

Right, huyo Mallya ni kwamba Mbunge alienda akachukua mtu amuendeshe wakati hana leseni. Irresponsible. Huyu dereva wa aliyetelekezwa na Mwakyembe na atoe full testimony kama alikuwa under duress ya bosi.
 
huu sasa uzandiki! madai yasiyo na kichwa wala mguu.. sasa unataka kumlaumu mgonjwa kwa maamuzi ya watu wengine.! Unataka Mwakyembe atoke kitandani na kuanza kufuatilia kila kitu yeye mwenyewe?
 
Back
Top Bottom