Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

Hizi ni AJALI kweli? Politics in bongo is increasingly becoming a dirty game!

Sasa wewe nawe, ina maana kila ajali ya high profile politician ni issue!!??? Ina maana wao hawatakiwi kupata ajali

Lets not poison our minds that far

Mzimu!!
 
Inasemekana Dr. Mwakyembe ameumia kidevu ila ana nafuu, gari lake limeharibika vibaya. Je walikuwa wangapi kwenye gari? Mungu amsaidie na dereva wake ambaye pia nasikia kaumia.

Mambo mengine yanasikitisha sana!

Ajali imetokea maeneo ya Ifunda ambayo ni mji kabla ya kufika njia panda ya kwenda Iringa mjini.
 
What? You hope Rostam was not behind this?

Well, I hope he wasn't racing recklessly down a rural back alley. Or drunk and driving!

Usilipuke bila mpango..btw kuna bandiko humu kuwa alikuwa na dereva, its matter of time kujua which is which.
 
Huwa najiuliza mara kwa mara NI KWA NINI WATU WENYE MATENDO MEMA HUPATA MISUKOSUKO KILA MARA?
Dr. Mwakyembe sala zetu ziko nawe daima,,, Mapambano bado yanaendelea,,,Upone haraka uendeleze harakati za ukombozi dhidi ya mafisadi wa nchi hii.
 
Ndo maana sipendi kuwa mwanasiasa kwani nitawaachia majonzi familia yangu kabla ya wakati...

Mungu ampe afya na apone mapema
 
Ni Habari ya kusikitisha,"Mwenyezi Mungu ampe nguvu na apate nafuu mapema."
 
JF ni noma. Yani information nimeipata hapahapa hata RTD a.k.a TBC hawajanifahamisha. Wakuu asanteni kwa update
 
Inasemekana kuwa dereva wake alikuwa akiovateki (akilipita) lori, lakini kwa bahati mbaya akagonga kwenye shimo lililoko barabarani na kulifanya gari lipinduke mara kadhaa!
Naamini Mungu atamponya! AMEEEEEEEEEN!!!!!
 


Usilipuke bila mpango
...btw its matter of time kujua which is which.

Wewe uliyedokeza kwamba ni Rostam anahusika, ulidhani mazuri hayo kuyasema?

Na wengine waanze ku speculate kwamba alikuwa anakimbiza gari maporini huko, sawa? Au tuanze ku speculate kwamba kalewa huku anaendesha?

Ajali wapate kunguru, akipata njiwa njama!
 
Poleni wapambanaji wote. I wish him a quick recovery. God bless you all!
 
Wewe uliyedokeza kwamba ni Rostam anahusika, ulidhani mazuri hayo kuyasema?

Na wengine waanze ku speculate kwamba alikuwa anakimbiza gari maporini huko, sawa? Au tuanze ku speculate kwamba kalewa huku anaendesha?

Ajali wapate kunguru, akipata njiwa njama!

Wewe utakuwa na matatizo makubwa ya uelewa..nioneshe wapi nimesema Rostam anahusika?
 
Haya sasa, nyeti zimewekwa hapo juu, Mkuu gari lake lilikuwa liko baru lina overtake.

Ngoma ikawashinda ikawamwaga... Sasa sijui Rostam ndio aliwapa clearance kwamba barabara ni shwari mbele waende speed?

Inaonekana swali langu ni gumu sana au limekutana na kichwamaji. Narejea tena swali..ni wapi nimesema Rostam amehusika..Nukta

NB: Sarakasi zaidi zitahesabika kuwa ni ukichaa.
 
MtindiowaUbongo na Uwiano Maalum, si utani, mnanichefua! Tumeletewa taarifa ya ajali iliyomhusisha Dr. Mwakyembe, nyie wawili mnaaza kulete malumbano yasiyo na HOJA! That is absurd!
 
Kuna taarifa inayoingia sasa inasema Dr. Harrisson Mwakyembe, Mbunge wa Kyela amepata ajali leo asubuhi. Je kuna mtu yeyote aliye na taarifa sahihi kuhusu hili tukio? Tafadhali tuhabarishe
 
Back
Top Bottom