Thank God. Alikuwa amepata shock ya ajali na sasa amezinduka. Madaktari wametuondoa hofu kuwa hana majeraha makubwa. Wanasubiri vipimo kufanya uchunguzi zaidi kabla hawajamruhusu kutoka.
Kweli mkuu, kwenye jamii zetu zote kwenye msiba au janga watu wote wanaungana pamoja na kuacha tofauti zao pembeni.MtindiowaUbongo na Uwiano Maalum, si utani, mnanichefua! Tumeletewa taarifa ya ajali iliyomhusisha Dr. Mwakyembe, nyie wawili mnaaza kulete malumbano yasiyo na HOJA! That is absurd!
MtindiowaUbongo na Uwiano Maalum, si utani, mnanichefua! Tumeletewa taarifa ya ajali iliyomhusisha Dr. Mwakyembe, nyie wawili mnaaza kulete malumbano yasiyo na HOJA! That is absurd!
Sawa kaka, nimesikia.
Sikupenda tu walivyotaja wasiohusika, si vema.Hatimae imesemwa ni speeding, si njama
Kuna taarifa inayoingia sasa inasema Dr. Harrisson Mwakyembe, Mbunge wa Kyela amepata ajali leo asubuhi. Je kuna mtu yeyote aliye na taarifa sahihi kuhusu hili tukio? Tafadhali tuhabarishe
Watu wengine bana!
Rostam atoa salamu za pole kwa mwakyembe
tbc
Ati nini....? Hii ni dhihaka au madongo??
Nina mashaka kama imetoka rohoni mwake.