Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
Aisee... Hizi ajali mbona zinahusisha mabasi tu?
Au ndo mwaka wa uchaguzi watu wanatoa kafara.
Mungu turehemu.
Mkuu hizi ajali zinahusishwa tu uchaguzi bila sababu za msingi, ivi umejiuliza ni kwanini safari fupi (eg: Moro to Dar) ni very rare kutokea?