Ajali ya basi la Happy Nation eneo la Mikumi

Ajali ya basi la Happy Nation eneo la Mikumi

Ajali nyingine mikumi bus la happy nation lapata ajali,hawa madereva wanakimbilia wapi,mbona ajali nying sana!!!!
 

Attachments

  • 1428580916311.jpg
    1428580916311.jpg
    86 KB · Views: 776
  • 1428580941617.jpg
    1428580941617.jpg
    77.6 KB · Views: 735
Kuna ajali nyingine ya Basi la Kilimanjaro Express lililokuwa likitoka Arusha kuja Dar limechomekewa na Lorry likainga kwenye mtaro kutokana jitihada za dereva majeruhi hakuna aliepoteza maisha.
 

Attachments

  • Kilimanjaro Bus.jpg
    Kilimanjaro Bus.jpg
    75.7 KB · Views: 604
Labda MADEREVA wameanza mgomo kwa vitendo kama wenzao WALIMU walivyofanya kwenye elimu!
 
Hii hatari. Nimesikia pia kuna ajali imetokea mikumi ikihusisha roli na basi, nyingine tena imetokea msata ikihusisha mabasi ya ngorika na ratco. Yote haya yametokea leoleo

Usisikie Dragoon tazama hapa
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/833228-ajali-mabasi-ya-ngorika-na-ratco-yamegongana-uso-kwa-uso-na-kusababisha-vifo-4.html#post12398399
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Hatari sana! Sasa inatubidi tuanze kuupromot usafiri wa ungo maana nahisi ni salama zaidi japo ni wa kasi zaidi! Wataalam wa archtecture wapewe kazi kuuboresha zaid usafiri huo ili chombo kichukue abiria wengi! Seriously, tugeukie asili yetu, vyombo vya wazungu vitatumaliza!
 
Ngoja mnatuambia madereava tulisoma vyuo fake na vyeti vyetu fake...
 
Duh siku ya leo ni mwendo wa ajali tuu, hakika tutakwisha, sasa tubaki nyumbani tu ama, japo huko napo mvua ikija inaondoka na nyumba zetu, mara mabomu na milipuko. Tutabaki salama kweli, leo tu Ngorika, RATCO, sasa Happy Nation na maroli juu.

Au ndio kafala za mwaka wa uchaguzi jamani
 
Duu si mchezoo..jana katibu wa madereva pale ubungo alikua anahojiwa na EATV akaonyesha picha za Happy Nation na kuisema sana kampuni inaenda kasi sana na ndio kampuni iliyowahi kuingia Ubungo Bus Tarminal saa 8 mchana kutokea Mbeya...leo imejidhihilisha!!!!
 
Back
Top Bottom