MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,768
- 5,634
Aliyechora hiyo dotted line hapo bila kujua kuna scenario kama hizo barabarani
You blame him for nothing... Sio la zima uchangie kila uzi au lazima kila uzi ukuvutieMoja kati ya the worst uzi this year![]()
Umeongea vizuri sana, ukijiona wewe ndiyo mwenye haki barabarani utasababisha ajali nyingi sana, namba 1 ana uwezo wa kupunguza speed ili huyo namba 2 apite, hata namba 4 pia angefanya the same hii utaepusha ajali sana, sasa unakuta umeshaona mwenzako kakosea wewe unatunisha kifua na kukazana kukanyaga mafuta,Zamani Ndiyo Ilikuwa Watu Wanaendesha Tu Magari
Sasa Hivi Hutakiwi Kuangalia Una Haki
Tunahimizwa Defence Driving, Iwapo Mwenzako Kakosea Na Mnachotakiwa Kufanya Popote Ni Kuepusha Ajali!!!
Kwa Picture Yako Na Inavyotakiwa Unalipita Gari La Mbele Yako Kama Tu Usalama Upo, Hapo Hatutaangalia Mistari Inakuruhusu Ama Laa!!
Maana Mistari Tutasema Number 3 Inamruhusu Halafu Number 3 Inamkutaza
Lakini Je Ni Salama Kwa Wote
Una hoja lakini umeshindwa kuiwakilisha3 ndo mwenye makosa. ukiwa kwenye mstari wa kukatika ina maana no overtake

, mstari kukatika ndiyo kitu gani 



Hii mbona inatokea, its happening in real lifeKosa lipo kwa aliyebuni tukio ambalo halina uhalisia
Kosa ni la No 1 na 4, kwa nini wanaenda polepole hadi wapitwe na gari zingine


3 anamakosa maana ka overtake kwene konaKati ya namba 1, 2, 3, 4 nani mwenye makosa kwa mfumo wa undeshaji wa Nchi yetu ya Tanzania.
#AjalisasabasiView attachment 1564192
Nyie ndio mliletewa licence na mjomba, aliyekwambia doted line inakataza ku overtake ni naniKosa lipo hapo ku overtake kwenye road sign inayokataza ku overtake View attachment 1565054
We kweli bwabwa, unatumia nguvu kuelezea huna unachokijua, leseni nililetewa na mshua sasa wewe kinakiuma nini, nilikutuma mzee wako awe masikini ili asikulete leseni nyumbani wivu tu nyau weNyie ndio mliletewa licence na mjomba, aliyekwambia doted line inakataza ku overtake ni nani
Nikufahamishe tu kua doted line inaruhusu ku overtake so kwa muktadha wa sheria za barabarani hapo mwenye kosa ni no 2 (mstari usio doted maana yake haruhusiwi kuovertake) lakini pia no tatu anaweza kua na kosa kwa kutojiridhisha kama mbele ni salama kabla hajaovertake.
Lakini kama namba 2 angefuata sheria ( mstari umemkataza kuovertake) basi namba tatu angeovertake smoothly na huo utata hapo wala usingekuwepo.
uzi wa kipuuzi ina maana mleta mada hujui tu kma mtu aliye kushoto kwenye ueleleo wake yuko sahihi
2 na 3 wanamakosa.
namb 3 hata kama mstari wa kati unaonyesha unaruhusiwa kuovertake , unatakakiwa kuangalia gari linalokuja mbele yako


Zamani Ndiyo Ilikuwa Watu Wanaendesha Tu Magari
Sasa Hivi Hutakiwi Kuangalia Una Haki
Tunahimizwa Defence Driving, Iwapo Mwenzako Kakosea Na Mnachotakiwa Kufanya Popote Ni Kuepusha Ajali!!!
Kwa Picture Yako Na Inavyotakiwa Unalipita Gari La Mbele Yako Kama Tu Usalama Upo, Hapo Hatutaangalia Mistari Inakuruhusu Ama Laa!!
Maana Mistari Tutasema Number 3 Inamruhusu Halafu Number 3 Inamkutaza
Lakini Je Ni Salama Kwa Wote

