Lemaemmanuel
Member
- Jan 30, 2020
- 18
- 28
- Thread starter
- #41
Wewe ndio hujamuelewa, mleta uzi yupo sahihi
[emoji120][emoji120]
Wewe ndio hujamuelewa, mleta uzi yupo sahihi
Its obvious 2&3
Huna haja ya kumtukana, sio kila anaeuliza swali hajui majibu ni brainstorming tu huna haja ya kumwagika povu
Wew jamaa acha uzushi, ina hujui sheria za barabarani au umefanya makusudi?3 ndo mwenye makosa. ukiwa kwenye mstari wa kukatika ina maana no overtake
Nyie ndio mliletewa licence na mjomba, aliyekwambia doted line inakataza ku overtake ni nani
Nikufahamishe tu kua doted line inaruhusu ku overtake so kwa muktadha wa sheria za barabarani hapo mwenye kosa ni no 2 (mstari usio doted maana yake haruhusiwi kuovertake) lakini pia no tatu anaweza kua na kosa kwa kutojiridhisha kama mbele ni salama kabla hajaovertake.
Lakini kama namba 2 angefuata sheria ( mstari umemkataza kuovertake) basi namba tatu angeovertake smoothly na huo utata hapo wala usingekuwepo.