Ajali nyingine mmh

Ajali nyingine mmh

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
1474042702891.jpg
 
Kuna ajali nyingine huwezi waza kama ni dereva wa kawaida alikua anaendesha maana ni extraordinary. Gar inakua sehemu ambayo ukijiuliza imefikaje hutakaa upate majibu
 
kuna ajali ilitokea kibamba pale darajani lori la kontena 40 feet lilianguka darajani halafu likafikia kichwa na kontena likawa juu lakini cha kustaajabisha ni kuwa dereva alitoka mzima

niliwaambia kuwa hapo ndipo unajua duniani kuna mtu anaitwa MUNGU
 
Pabaya sana pale....
 
Kumbe MUNGU ni mtu leo nimetambua sasa
 
Huyo Ras anafahamika kwa jina la Makosa, hana gari hata moja, wenyeji wa Iringa wanasema Jamaa alikuwa tajiri miaka ya 90, now kafilisika hana kitu kabisa.
Utajiri wa mambo yetu yaleee
 
Back
Top Bottom