Mungu si mtu wewe!!!kuna ajali ilitokea kibamba pale darajani lori la kontena 40 feet lilianguka darajani halafu likafikia kichwa na kontena likawa juu lakini cha kustaajabisha ni kuwa dereva alitoka mzima
niliwaambia kuwa hapo ndipo unajua duniani kuna mtu anaitwa MUNGU
of course hapo ni jirani na RUCO na ukumbi wa MAKOSA , opposite yake ni MOTTO HOUSE!Ilikua Iringa niliishuhudia aiseee.
Baada ya kama siku 3 toka iilipotokea nilikutana na kijana mmiliki wa hilo lori ilikuwa ni gari yake ya kwaza alilikuwa akiipenda hataree ukiangalia hata hiyo cebin ilvyopambwaPabaya sana pale....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]Huyo Rasi hata akila ganja hapo nadhani Polisi watamlinda kabisa asibugudhiwe na yeyote mpaka amalize