Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Nenda kamshtakie chattelIngekuwa enzi za JPM, haya mauzauza yasingetokea, nawaambieni mapema!!!
Hapo oil com huwa zinatokea sana ajari, sijui kuna nini hata.
Oilcom yamaeneo ganiHapo oil com huwa zinatokea sana ajari, sijui kuna nini hata.
Ajali zilikuwepo na zitaendelea kuwepoMama samia kafungulia had wachawi wanyonya damu, kazi iendelee
Kwahio wasafiri wanajifanya wanaomboleza kilio kumbe janja janjaNina uhakika iyo coaster nizile tunazitumia wasafiri wa usiku kwenda mkoani kufata mazao,last week walisema SUMATRA wapo mikese gar ikipita na abiria faini nikuanzia 250,000 kuendelea.
Hii imesababisha madereva kufanya udanganyifu kua wanabeba maiti ili waweze kupita kwenye kizuizi cha sumatra...
Nchi yetu wote jamani,tuijenge pamoja
Alafu ajali ikitokea wanalaumu polisiKwahio wasafiri wanajifanya wanaomboleza kilio kumbe janja janja
Mama samia kafungulia had wachawi wanyonya damu, kazi iendelee
POLE KWA wafiwa bila kujali nani kasababisha ajali, hakuna anayependa kifo jamani nyie acheni tu, hapo kunatokea wajane, wagane na mayatima, eeh Mungu tusaidie sisi waja wako.View attachment 1826327
Basi linadaiwa kusababisha ajali jana mkoani Morogoro lilibeba mashada ya maua, dereva aliposimamishwa kwa mwendo kasi alidai anawahisha mwili kwa ajili mazishi.
Taarifa za kuaminika kutoka kwa abiria ni kuwa gari hilo halikubeba maiti na abiria wote waligeuka waombolezaji kila gari liliposimamishwa.
Na taarifa za hivi punde kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Fortunatus Musilim amesema idadi ya waliofariki dunia imeongezeka kutoka 7 mpaka kufikia 9.
My Take:
Gari ikisafirisha maiti huwa inapewa vibali na kuna nyaraka za kusafiri nazo,JE ZILIHAKIKIWA?, Lakini je Gari yenye maiti inaruhusiwa kukimbia zaidi ya mwendo halali?.
Jeshi la polisi msikwepe hili lawama.
Moro, mikeseOilcom yamaeneo gani
DuhMoro, mikese
Yes.
Msiba unaleta mzaha..Mama samia kafungulia had wachawi wanyonya damu, kazi iendelee