Poleni sana. Ila hili gari linakimbia balaa huwa linatoka rombo saa kumi na mbili na kufika dar saa 8 mchana ili hali dar express inatoka the same time na kufika saa kumi jioni.
Poleni sana majeruhi. tatizo la Nchi yetu Wamiliki wa basi hawazingatii kabisa kuyapeleka mabasi yao garage kukaguliwa kama liko katika hali nzuri na linafaa kubeba abiria , na Traffic wetu huwa wanafurahia kuona gari lenye matatizo likiwa barabarani kwani linakuwa mtaji kwao. MUNGU ATUSAIDIE TANZANIA
Poleni sana. Ila hili gari linakimbia balaa huwa linatoka rombo saa kumi na mbili na kufika dar saa 8 mchana ili hali dar express inatoka the same time na kufika saa kumi jioni.
Najisikia kulia ndugu zangu ajali isikie kwa mwenzio tu coz iliishanitokea.really sory ndugu zangu wote mlio patwa na msiba huo but kila kitu hutokea for a reason say mashaalah.