Ajali mbaya ya basi la Meridian

Ajali mbaya ya basi la Meridian

ingawa inaonekana ni ajali mbaya,abiria wengi watakuwa wamesalimika

1 bodi lilinyofoka kwa ustaarabu

2 basi alikuanguka hadi kulala chini
 
so sad, may al of those who lost their luvd ones accept my sincere condolence....! injuries wish u quick recovery!!
 
Poleni sana wafiwa,majeruhi mungu awape nafuu haraka
 
Tabu ya mabac yetu mengi yana chasis ya malori.

Watanzania na hasa cc tunaosafiri mara kwa mara tuombe waendesha hii JF watuwekee jukwaa la kupeana habari juu ya vyombo vya ambavyo ANGALAU vina ahueni ya usalama maana hili janga la ajali halielekei kupatiwa ufumbuzi.

Serikali imelala
Sumatra wamelala
Trafic sitaki hata kuamini kama wapo.
Wenye mabasi nao dah!
 
Polen wtz kwa maafa ya ndg na jamaa,bt p'se viongozi tunaomba idadi ya walopoteza maisha ka inawezekana,Mung ibark tz.
 
Back
Top Bottom