Mkiliman
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 984
- 345
Jamani, vp wahanga?
Jamani hii hali inatisha,hiyo bodi ilikuwa imechoka sana
Daaah hiyo ni ajali mbaya sana kuwahi kuiona yaani gari siti zote zipo nje!!!!
Ajali mbaya ya gari iitwayo meridean ikitokea Moshi kwenda Dar imepata ajari mbaya maeneo ya kimange kwa kukatika paa la ju. Idadi ya vifo na majeruh haijajulikana
Tujuze imetokea maeneo gani?
mkuu uzi huo umeletwa tangu saa tano na picha ziko jukwaa habari mchanganyiko
ndoa ngapi zimeharibika kutokana na serikali kutokutoa uhamisho kwa wanandoa kukaa pamojaKila kitu serikali hata mkeo akienda njee ndoa serikali