Ajali mbaya ya basi la Meridian

Ajali mbaya ya basi la Meridian

attachment.php


hatari sana
 
Daaah hiyo ni ajali mbaya sana kuwahi kuiona yaani gari siti zote zipo nje!!!!
 
Mungu awaponye waliojeruhiwa na awape pumziko la milele waliopoteza maisha
 
Jamani haya matukio mbona yanazidi kutuandama sana Wa Tz, Mungu apishe mbali...!!
 
Poleni sana. Ila hili gari linakimbia balaa huwa linatoka rombo saa kumi na mbili na kufika dar saa 8 mchana ili hali dar express inatoka the same time na kufika saa kumi jioni.
 
Mungu awajalie majeruhi wapone na awapumzishe mahali pema peponi waliotutangulia njia yetu ni moja
 
Poleni sana majeruhi. tatizo la Nchi yetu Wamiliki wa basi hawazingatii kabisa kuyapeleka mabasi yao garage kukaguliwa kama liko katika hali nzuri na linafaa kubeba abiria , na Traffic wetu huwa wanafurahia kuona gari lenye matatizo likiwa barabarani kwani linakuwa mtaji kwao. MUNGU ATUSAIDIE TANZANIA
 
Poleni sana. Ila hili gari linakimbia balaa huwa linatoka rombo saa kumi na mbili na kufika dar saa 8 mchana ili hali dar express inatoka the same time na kufika saa kumi jioni.
Halafu limechoka mbaya!
 
Sasa serikal iweke nguvu huku jaman sio kwenye mambo ya kina........
 
Najisikia kulia ndugu zangu ajali isikie kwa mwenzio tu coz iliishanitokea.really sory ndugu zangu wote mlio patwa na msiba huo but kila kitu hutokea for a reason say mashaalah.
 
duh, inasikitisha, pole sana kwa majeruhi wote.
 
dah!! R.I.P kwa wote waliokufa.poleni majerui coz ni janga hlo!!!!
 
Back
Top Bottom