ITV wametoa breaking news bila picha na nilichosema ndicho walichoripoti.Salary Slip acha uongo hii picha nimepiga mm na cm yangu na sio ITV, hivi unadanganya watu chanzo cha habari ili upate nini? Misifa tu au?
Huyo Mungu mpaka aambiwe?
Kila kitu sisi kimetushinda kudhibiti!
Salary Slip acha uongo hii picha nimepiga mm na cm yangu na sio ITV, hivi unadanganya watu chanzo cha habari ili upate nini? Misifa tu au?
Unakoelekea, hukawii kuilaumu ccm kwa uzembe wa mdereva kutotii sheria, hapo hapo Trafic wakifanya kazi yao mnawaita "njaa"!
Nilishaacha kupanda hivi vidudu toka MUNGU aniokoe katika ajali ile pale ranchi Mvomero"
Nawe simu sio yako au una kiwanda cha simu mkuu?????!!!
wala hii Jf sio yako na umeposti hapa!!!!
Acha misifa nawe bhana kwan akitumia picha uliyoweka likes zako zinahamia kwake au rep power???!!!
Mkuu huwezi amini ajali hii imetokea kwa vile dereva wa lori Scania alisinzia, akapoteza mwelekeo wakagongana uso kwa uso, so they were just at a wrong place at at a right time.