Ajali mbaya mkoani Singida: Watu kumi na tatu wafa papo hapo

So sad!

Hata hainiingii ukisikia Noah imebeba watu wote hao!

Mwenyenzi MUNGU mwenye uweza wa yote Bwana wa majeshi usitupite Bwana wetu! Wote hao waliofariki uwape kupumzika salama katika shamba lako Bwana wetu!
 
nimeskia wamefariki 13 kama walikuwa 15 bhasi atakuwa huyo mama na mtoto wake ndio waiwil waliobaki japo hali yao haijajulikana mungu awanusru
wengine wote wamekufa isipokuwa huyo mama na kichanga chake tu ambaye pia hatujui hali yake inaendeleaje sasa

13 died or 15 taarfa rasmi tafadhal
15 died on the spot

Asante kwa taarifa Mnyampaa! poleni sana.

Masikitiko tena: Watu Kumi wahofiwa kufa Katika Ajali ya Noah na Roli Singida | Dullonet Tanzania
poleni wafiwa wote.... ila uwe unatoa taarifa ikiwa kamili

kuwa serious kidogo ..unataka kuona maiti au? jiangalie hujafa hujaumbika
Picha za ajali
Weka picha

uwezekano upo dereva 1 siti ya mbele 2 siti ya nyuma wa4 yakat wa4 kwenye bana wa2 na labda tuassume kuna mama wawili wawe na watoto wadogo (watoto na ni watu usisahau hilo) NOTE hiyo ni makisio tuu kwa wewe unayedhani noah haiwez kubeba 15 (noha act like TOWN HIACE)
noah imebeba watu 15? imposible.

Wengine wamekufa?
inasikisha sana 13 ni karibia gali zima jamani tuwaombee hao waliokimbiza hospital mungu awajalie uzima........AMEN
 
Gari ikizidisha mzigo kwanza kila kitu utegemee kuwa abnormal. Brakes hazitakuwa sawa, stability haitakuwa sawa na hata ulaji wa mafuta na vitu vingine vingi. Police wasimamie sheria na si Mwakyembe kama watu wengine mnavyosema.
 
Kudhibiti ajali sio kazi ila ni madereva ambao liseni zao ni feki na waliochukua kihalali hawana mafunzo kabisa hata indicator hawajui imewekwa kwa manufaa gani, dereva unamkuta kama kalewa hivi hawezi Ku judge je ataweza Ku overtake gari au la
 
This is bad......sielewi ni kwanini serikali hii inaornda mambo rahisirahisi. Hizi gari zinafaa kuwa town taxi...kariakoo posta...aukatiakoo msimbazi.

Sio Manyoni Singida au Moshi Rombo.
 
Lakini, badala ya kumuomba Mungu kuwapa nguvu wafiwa ni kwa nini tusiwe pro-active kwa kumuomba Mungu huyo huyo kuwapa akili madereva wakaendesha vizuri!?

Mkuu huwezi amini ajali hii imetokea kwa vile dereva wa lori Scania alisinzia, akapoteza mwelekeo wakagongana uso kwa uso, so they were just at a wrong place at at a right time.
 
UY.jpg

CHANZO MATUKIO NA VIJANA BLOG
 
nimeskia wamefariki 13 kama walikuwa 15 bhasi atakuwa huyo mama na mtoto wake ndio waiwil waliobaki japo hali yao haijajulikana mungu awanusru

13 died or 15 taarfa rasmi tafadhal

Masikitiko tena: Watu Kumi wahofiwa kufa Katika Ajali ya Noah na Roli Singida | Dullonet Tanzania

kuwa serious kidogo ..unataka kuona maiti au? jiangalie hujafa hujaumbika

uwezekano upo dereva 1 siti ya mbele 2 siti ya nyuma wa4 yakat wa4 kwenye bana wa2 na labda tuassume kuna mama wawili wawe na watoto wadogo (watoto na ni watu usisahau hilo) NOTE hiyo ni makisio tuu kwa wewe unayedhani noah haiwez kubeba 15 (noha act like TOWN HIACE)

inasikisha sana 13 ni karibia gali zima jamani tuwaombee hao waliokimbiza hospital mungu awajalie uzima........AMEN

Mbele 4 plus a driver japo walitakiwa 2 na driver akiwamo. Kati 4 japo walitakiwa 3, nyuma kiti hukunjwa na badala ya 3 wanakaa 4 wakiangalia mbele na 4 wakiangalia nyuma. Sawa na 8. Total ni 16 So dangerous.
 
Duuh.. Walazwe mahala pema pepon marehemu.. Na walioumia wapate afueni..

Lakini kwanini kunatokea sana ajali katika Mkoa wa Singida..?
 
Kudhibiti ajali sio kazi ila ni madereva ambao liseni zao ni feki na waliochukua kihalali hawana mafunzo kabisa hata indicator hawajui imewekwa kwa manufaa gani, dereva unamkuta kama kalewa hivi hawezi Ku judge je ataweza Ku overtake gari au la

Kweli umenena mkuu,unakuta dereva anaenda kulia ama ananyoka barabara ila kawasha indicator ya kulia ama kushoto na wala hakatishi,yaani hovyo kabisa.
 
Poleni sana wafiwa, pia Mungu awalaze marehemu mahali pema peponi, amina. Tulikuja kwa mavumbi tutarudi mavumbini (Mwanzo 3:19).
 
Back
Top Bottom