Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,937
- 1,302
Juzi kafa Faru mmoja waziri kajitokeza kwenye vyombo vya habari na kupinga vikali sana + mbinu zingine ili faru wasife tena....
Haya leo binadamu wenzetu wamechinjwa kama kuku na magari/roho za watu wasio hata na hatia zimetoka, sasa waziri mkuu au waziri husika ajitokeze na leo sasa???
Mungu awape faraja wanasingida,wafiwa na waTz woote!!!
____R. I. P_mliotangulia mbele za haki...
Akili za bavicha ni mbaya! Kila kitu waziri aje, badala ya kusema Traffic washughulikie upesi na aliyesababisha achukuliwe hatua za kisheria we unakimbilia waziri! Kwani ni sawa na Mwenyekiti wa kijiji ambaye utampata haraka hapo hapo kijijini!