Lakini, badala ya kumuomba Mungu kuwapa nguvu wafiwa ni kwa nini tusiwe pro-active kwa kumuomba Mungu huyo huyo kuwapa akili madereva wakaendesha vizuri!?
poleni wafiwa wote.... ila uwe unatoa taarifa ikiwa kamili
noah imebeba watu 15? imposible.
Hizi noah zinaua sana siku hizi,bora zizuiliwe kubeba abiria cz hao madereva wake sidhani kama wana leseni za kubeba abiria(class c) na wameenda mafunzo ya udereva kwny vuo husika(n.i.t au veta).
Duuh.. Walazwe mahala pema pepon marehemu.. Na walioumia wapate afueni..
Lakini kwanini kunatokea sana ajali katika Mkoa wa Singida..?