Nadhani angefanya hivyo taarifa yake ingekuwa ya msaada kwani kuna ambao wangewatambua kwa kuliona Gari tuuHata picha ya magari yaliyopata ajali?
Hata kama ningepiga picha gari si rahisi kutambua namba. Imeungua yote vibaya sana. Inaonyesha dereva alikuwa anaomba msaada kwa kunyoosha mkono lakini ilishindikana kupata msaada kwa sababu after impact iliwaka ghafla.Natamani waliofariki isiwe ni mke na mume. Najaribu kuwaza kuhusu watoto wao ikiwa ni hivyo. Mungu awape faraja wafiwa
Picha huwa muhimu kwani namba za gari zingesaidia kujua gari la nani hujatoa taarifa kamili mkuu
ungepiga picha gari tu
Naona notion ya kuweka au kutoweka picha inachanganya wengiNadhani angefanya hivyo taarifa yake ingekuwa ya msaada kwani kuna ambao wangewatambua kwa kuliona Gari tuu
Jamani watz wenzangu, tusiendeshe tukiwa tumelewa,hata kama tunaharaka jaribu kutuliza akili yako ukiendesha, kagua gari yako kabla ya kutoka,usitembee speed zaidi ya 50 kwenye watu/magari mengi, R.I.P.
Ulipaswa kupiga picha,kama watazamaji wangekuruhusu. Usiwe squeamish. Unaifahamu Aztec religion? Kupiga picha maana yake you are recording history. Siyo kama hawa lasses ambao wanapiga picha kila baada ya siku mbili Facebook wamevaa nguo tofauti. Wana nguo nyingi kama Imelda Marcos.Majira ya saa kumi na moja asubuhi kumetokea ajali mbaya sana eneo la Mbezi Beach Afrikana.
Gari aina ya Nissana xtrail au Honda ikiwa inatokea Mwenge imegonga kwa nyuma truck na kuungua hapohapo.
Kwa mujibu wa mashuhuda watu wawili waliokuwemo ndani ya gari wamefariki kwa moto wakiwa ndani.
Kwa adabu zangu sitoweza kuweka wala sikupiga picha.
Haina matuta watu wanatambaaa kinomaHiyo barabara kutoka hapo Afrikana mpaka njia panda ya wazo sijui kuna kiumbe gani kimefichwa kwa chini
Vipi Airport posta kuna matuta ? Mkuu ?Haina matuta watu wanatambaaa kinoma
Milango ni chuma /bati,ikipata moto inatanuka,pia kumbuka iligonga kwa nyuma so inawezekana pia milango ilipinda so huwezi fungua,labda useme fire extingusher,labda japo kwenye magari watu wanaziweka kwenye buti alafu inafungiwa na kofuki inapata kutu so kwenye ajali huwez funguaTukubaliane na sababu zake kwanza...hivi gari ikilipuka moto watu huwa inakuwaje kuhusu milango....
Hakuna kilichofichwa, madereva wanaendesha kwa spidi sana bila uangalifu. Usisahau hiyo barabara inapitisha wafanya tafakuri wengi kama mimi.......hasa usiku mkubwaHiyo barabara kutoka hapo Afrikana mpaka njia panda ya wazo sijui kuna kiumbe gani kimefichwa kwa chini
Kwani gari za siku hizi hazina taa???!
Hata mm ningeshangaa eti wawekewe taa wakat magar yana taa labda angesema madereva wazingatiwe kupimwa macho yao
Majira ya saa kumi na moja asubuhi kumetokea ajali mbaya sana eneo la Mbezi Beach Afrikana.
Gari aina ya Nissana xtrail au Honda ikiwa inatokea Mwenge imegonga kwa nyuma truck na kuungua hapohapo.
Kwa mujibu wa mashuhuda watu wawili waliokuwemo ndani ya gari wamefariki kwa moto wakiwa ndani.
Kwa adabu zangu sitoweza kuweka wala sikupiga picha.