Ajali mbaya Kawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya Kawe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Dec 5, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  kuna ajali mbaya imetokea Tank bovu.

  Magari mawili madogo yamegongana na kuharibika sana. Cha ajabu aliye sababisha ajali alikimbia bila kujua kuwa gari lake limepata pancha tairi zote za mbele, alivyofika kama hatua ishirini pumzi zote zikaisha. akapaki pembeni ili akimbie kwa miguu, ile anatoka na kuanza kukimbia wapita njia wakamkamata kama gaddaf na kumrudisha akatoe maelezo.

  Mia
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  do!poleni sana kuna watu wamekufa?
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mpeni pole
   
 4. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu iweke vizuri kidogo, aina ya magari, hali za majeruhi kama wapo...nk!
   
 5. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,840
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Tupe More Updates na Picha!! Haya Yanayotukumba ni tatizo la Watu Kuletewa Leseni Nyumbani!!! some of Drivers They dont have the skills
   
 6. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Picha please!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Update pls.
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nimepita hapo muda mfupi uliopita ...

  Siyo ajali mbaya wala kitu gani - Ni madereva wawili wameamka na "hang-over" wakagongana katikati ya barabara - karibu na BP Mbezi Tanki Bovu..

  Escudo na NADIA!

  Hakuna mtu aliyekufa wala kujeruhiwa!
   
 9. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kweli miaka 50 ya uhuru imetefikisha mbali, Enzi zetu taarifa kama hii unaiskia baada ya wk tatu... leo unaipta within 5 minits ..Na ..Zaidi ... unaombwa kuweaka Picha ... Rahaaa kwelikweli ...!!

  Poleni wote mliopatwa na ajali!!
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Poleni wote waliopatwa na ajali! Cha zaidi kuweni makini wakati wote barabarani.
   
 11. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Itakuwa ccm tu hao
   
 12. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280

  Duh.
  Hii kiboko. Sijapata ona
   
 13. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hakika mkuu hii ya kufungia mwaka ...

  Sasa CCM ni NADIA au ESCUDO au Ni ajali yenyewe!!
   
 14. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Shukrani mkuu kwa taarifa yako ya kina.
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ni kweli mkuu umepita lakini umeshindwa kusema kwamba dreva wa nadia kapelekwa hospital.
  Yule mwingine haikua hang over bali alichanganyikiwa,coz walimkataza kutoka na gari yeye akalazimisha. Mia
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hakuna aliyekufa bali kuna aliyeumia. hakupatikana jina kwa halaka. mia
   
 17. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tenki Bovu sio Kawe bali ni Mbezi Beach labda ungesema ajali imtokea kata ya Kawe eneo la tenki bovu- mbezi beach..Lakini asante kwa taarifa..
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  tumethubutu, tumeweza tunasonga mbele!
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mkuu jenga picha mwenyewe. scudo side mirror imekwangulia, tairi za mbele zinaangalia direction tofauti moja inaangalia kushoto nyingine kulia,mbele kumebondeka hadi plate number ikadondoka,hamna taa hata moja iliyonzima,halafu ilikuwa imepark peke yake katikati ya barabara dreva wake alikuwa pembeni anaongea na simu huku akilia. Mia
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bora ata wewe b e maana huyu mzee wa .mia ni noma kwa vibwagizo..
   
Loading...