Ajali mbaya Kawe

Tumechubu2,tumesogezwa na tunasogea
Kweli miaka 50 ya uhuru imetefikisha mbali, Enzi zetu taarifa kama hii unaiskia baada ya wk tatu... leo unaipta within 5 minits ..Na ..Zaidi ... unaombwa kuweaka Picha ... Rahaaa kwelikweli ...!!

Poleni wote mliopatwa na ajali!!
 
bora ata wewe b e maana huyu mzee wa .mia ni noma kwa vibwagizo..

hahahaaaa...!!. Mkuu kujuzuna ni vizuri. Waweza kuta ndugu yako. Cha muhimu tuwape pole waliopatwa na mkasa manake ukikwangua rangi gari la mtu panachimbika na kusababisha foleni magomeni hadi ubungo eti wanasubili traffic. Sasa hivi hali ni mbaya. Mia
 
Back
Top Bottom