Ajali mbaya:Gari zilizobeba cement za Dangote zagongana

Ila dunia ya leo jamani! Watu wanahangaika na maisha,wenzao wanapambana kuchukua tu video. Hatukatai umhimu wa taarifa hizo,lakini badhi wangepambana kuwakimbiza majeruhi hospitali
Tatizo mifumo yetu haieleweki.

Unaweza ukajifanya msamaria mwema ukaishia kujutia.
 
Ila dunia ya leo jamani! Watu wanahangaika na maisha,wenzao wanapambana kuchukua tu video. Hatukatai umhimu wa taarifa hizo,lakini badhi wangepambana kuwakimbiza majeruhi hospitali
Acha lawama,hujasikiliza na kutazama hiyo video niyakuomba msaada,mnataka kuwa watu wa kulaumu kila kitu
 
Kwanini mkuu?
Wana ajali nyingi, sina takwimu lakinimara nyingi kumekuwa na taarifa za ajali zinazohusisha malori ya hiyo kampuni.

Huenda na wingi wa magari ya kampuni hiyo ikawa sababu maana probability ya ajali inakiwa kubwa kwao kwa kuwa wana malori ya kutosha karibu kila eneo la nchi hii.
 
Tatizo ni namna ya upatikanaji wa madereva,posho na mishahara ya madereva.

Ukiwa unataka cheap labour utapata bora dereva na unamkabidhi chombo na mzigo unaofika thamani ya 500m
 
Back
Top Bottom