Ajali mbaya: Basi la Mohammed Trans laua na kujeruhi tena

Mkuu, hivi imekuwaje - mbona kutoka stand unapanda mlima kwa takribani maili kama nne hivi kabla ya kufikia tambarare! Hapo sioni uwezekano wa Mohammed trans kwenda mwendo wa kasi, unless kama lory lilikuwa lina teremka mlima kwenda mjini lilipata matatizo ya brake na kuligonga Bus labda! Nimesikitishwa sana na ajali hiyo, sina shaka majeruhi wata hudumiwa ipasavyo, R.I.P dereva.

Mkuu hata mie nadhani lory ndo litakuwa chanzo cha ajari. Sie tulikuwa tumetangulia na basi la kampuni hiyohiyo kwenda Dar na hilo lilikuwa linakwenda Mwanza.
Mkuu ahsante kwa utetezi wako juu ya spellings. Huyo jamaa nafikiri hana lakufanya mbali na spelling checking. Watu tunapost issues kwa haraka kwa visim vyetu vya kichina kusudi tuhabarishe umma yeye anishia tu ku comment on spelling!
 
Unapotaka kupost kitu humu tumia akili si mate!!!! ikishindikana endelea kusoma post za wengine kuliko kuandika ujinga kama huu kwenye red

Mkuu, Sikonge si mtu wa kukurupuka na kuandika maneno yenye utata bila sababu - naona hapa kuna kitu, na sina shaka amehudhika kwa waliotumiamaneno ya "washindwe na walegee" yeye kama mwisilaam ata-retaliate naturally. Ninacho taka kusema hapa ni kwamba wakati mwingine tuwe tunakuwa makini katika matamshi yetu, wewe unaweza kuona ni neno la kawaida, mwezako akaliona tofauti kabisa kutegemea na tukio na muhusika wa tukio.
 
Mkuu hata mie nadhani lory ndo litakuwa chanzo cha ajari. Sie tulikuwa tumetangulia na basi la kampuni hiyohiyo kwenda Dar na hilo lilikuwa linakwenda Mwanza.
Mkuu ahsante kwa utetezi wako juu ya spellings. Huyo jamaa nafikiri hana lakufanya mbali na spelling checking. Watu tunapost issues kwa haraka kwa visim vyetu vya kichina kusudi tuhabarishe umma yeye anishia tu ku comment on spelling!

Tunashukuru sana mkuu kwa taharifa yako ya kusikitisha. Nafikili Mr.Zomba hakuwa na nia mbaya take it easy Mkulu.
 
Mkuu, hivi imekuwaje - mbona kutoka stand unapanda mlima kwa takribani maili kama nne hivi kabla ya kufikia tambarare! Hapo sioni uwezekano wa Mohammed trans kwenda mwendo wa kasi, unless kama lory lilikuwa lina teremka mlima kwenda mjini lilipata matatizo ya brake na kuligonga Bus labda! Nimesikitishwa sana na ajali hiyo, sina shaka majeruhi wata hudumiwa ipasavyo, R.I.P dereva.
Mkuu suala siyo mwendokasi suala ni kuwa AJALI imetokea. Hii ni taaeifa.
 
Nakuomba usome nilivyo jibiwa na mtoa taharifa, inaonyesha huyo mtu yuko sensible unlike U ambaye una-try to be bigger than your HEAD, usifikili kila mtu ni mjinga; kama huna kitu cha kuchangia unaruhusiwa kusoma lakini sio kujaribu kukejeri wenzako.
 
Mohamed trans zina speed limiters na kwa kawaida huwa hazina mwendo kasi labda iwe ni sababu nyingine iliyosababisha ajali.
 
Mkuu, Sikonge si mtu wa kukurupuka na kuandika maneno yenye utata bila sababu - naona hapa kuna kitu, na sina shaka amehudhika kwa waliotumiamaneno ya "washindwe na walegee" yeye kama mwisilaam ata-retaliate naturally. Ninacho taka kusema hapa ni kwamba wakati mwingine tuwe tunakuwa makini katika matamshi yetu, wewe unaweza kuona ni neno la kawaida, mwezako akaliona tofauti kabisa kutegemea na tukio na muhusika wa tukio.

matamshi gani na wewe?
kama mmeshindwa kuzungumzia ajali, unapita kimyakimya,sio kuibuka kama uyoga.
 
Mkuu, Sikonge si mtu wa kukurupuka na kuandika maneno yenye utata bila sababu - naona hapa kuna kitu, na sina shaka amehudhika kwa waliotumiamaneno ya "washindwe na walegee" yeye kama mwisilaam ata-retaliate naturally. Ninacho taka kusema hapa ni kwamba wakati mwingine tuwe tunakuwa makini katika matamshi yetu, wewe unaweza kuona ni neno la kawaida, mwezako akaliona tofauti kabisa kutegemea na tukio na muhusika wa tukio.

matamshi gani na wewe?
kama mmeshindwa kuzungumzia ajali, unapita kimyakimya,sio kuibuka kama uyoga.!
 
Hapana ndg yangu! Bus lilopata ajari lilikuwa linaelekea Mwanza nami nilikuwa mbele na basi lingine la kampuni hiyohiyo linaloenda Dar na kwa sasa niko Moro tutatoka asubuhi. Nasikitika sana kwa watu wenye mawazo mgando fikra fupi wanao husisha utoaji wa taarifa hii na maswala ya kiitikadi na imani za kidini. Huu ni umbumbumbu na ujinga wa kukemewa kwa mlalamikaji hajui mtoa taarifa anaamini ktk itikadi gani wala dini gani. Ujinga mtupu!

hivi alichokusahihisha Zomba umekielewa au ndo ukurya umekuzidia
 
Mkuu hata mie nadhani lory ndo litakuwa chanzo cha ajari. Sie tulikuwa tumetangulia na basi la kampuni hiyohiyo kwenda Dar na hilo lilikuwa linakwenda Mwanza.
Mkuu ahsante kwa utetezi wako juu ya spellings. Huyo jamaa nafikiri hana lakufanya mbali na spelling checking. Watu tunapost issues kwa haraka kwa visim vyetu vya kichina kusudi tuhabarishe umma yeye anishia tu ku comment on spelling!

umekosea tena ni ajali...sio ajari...hapo anishia ndo nini tena au ulimaanisha anaishia?
 
Wanasemina 3 watimuliwa mafunzo ya sensa wilayani mbogwe mkoani Geita katka kituo cha mafunzo masumbwe eti kisa si raia wa tanzania eti ni Warundi,utambi umechomelewa na mama juma wa lugunga kisa watu wake walikosa dili hilo!.Jaman nisaidien kuipost hii post coz simu yangu haioneshi Post a new post.
 
Dah humo barabaran cku hzi ukiona umefika salama unastahl kumshukuru mungu get wel soon majeruh and rip dereva
 
Naona mmeandika kwa sababu ni Bus la Mwislaam. Lingelikuwa la Mudhungu, mngelikaa kimya.

Wagalatia bana, kaaazi kweli kweli.

Poleni Wafiwa na Majeruhi. Mungu awalaze mahali pema Waliotangulia mbele ya haki.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...etaka-kuwekeza-usd-20-billion-tanzania-5.html

hiyo link ya nimeiona. Mubadala ni kampuni kubwa of course. Ishu inakuja 'what is their motive?' Hawa watu hawaji kuwekeza tu hovyo hovyo kwa sababu wana pesa huwa wana vitu vingi sana wanataka wapate in return for their investments ukiachilia mbali profit from their investment. Watu kama hawa sometimes wanakuwa na ajenda zao za siri kwa mfano watataka wawe na sauti kwenye maamuzi ya nchi, watataka wapewe Serengeti, n.k na hii ni mifano tu haimaanishi ndo wanavotaka. Sasa labda waziri kaona mbali kuwa hawa jamaa si wazuri. Hata kama wamewekeza nchi zilizoendelea kule ni pure business na hawawezi kuwa na sauti na kufanya mambo wanavyotaka tofauti na huku kwetu ambako viongozi sio stable, akili zao zimehamia kwenye matumbo na mifukoni mwa watu wenye pesa. Hiyo ni hatari kwa taifa. Kwa mawazo yangu, hata mtu aje na dollar trillion kadhaa kama ana nia ingine tofauti na investment yake ntampiga chini tu maana kuna siku ntasimama mbele za Mungu kujibu maswali na sitaki niambiwe niliingiza nchi matatizoni kwa tamaa ya fedha (chafu) ambazo by the way nikifa naziacha hapahapa.....
 
Back
Top Bottom