Hiyo ajari nimeikuta pale gari imezama chini ya daraja sikupata info kwani nilikuwa nina haraka ya kuwahi kazini ila ni ajari mbaya sana.
Vyovyote utakuwa umeelewa kama hujaelewa jiue.Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?

ni kiswahili siyo kiswahikiHivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
Nummy hata wewe ni mmoja ya wahanga hao unao wasema. Umeandika kiswahiki, nafikiri hapo neno sahihi ni kiswahili...
Ni hayo tu.....
balaaah kubwa hii