Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,249
- 360
Hivi tunakoelekea naona kiswahili kinakuwa kigumu kuliko kiingereza, maana naona makosa ya matamshi ya kiswahiki yanakuwa mengi sana. nadhani hii inatokana na shule za english medium ndio zimesababisha watu kutojua kiswahili fasaha. (ajali au ajari)?
BAKITA wamelala usingizi, Ina kera jinsi Kiswahili kinavyoharibiwa kila uchao!