Ajali: Basi la Hood Limepata ajali Iringa Milima ya Kitonga

Ajali: Basi la Hood Limepata ajali Iringa Milima ya Kitonga

So sad. Hii milima inahitaji weledi wa hali ya juu na chombo kisilete hitilafu. Pole wahanga wote wa ajali
 
Nyie mods mna nongwa sana.Mi nilileta uzi ukiwa na picha za basi la Hood likiwa korongoni kabisa nikawaomba muunganishe na huu uzi lakini mpaka sasa kimya na uzi wangu mmeuondoa!.
Wana roho za kwanini
 
Hatari sana. Jana saa tisa usiku nasikia huko Arusha lilivamia kwenye bar. Hood kunani Tena?
 
bus nyingi zinapata ajali mbaya kila Wakati.
Sababu 1;😱ver speed
2:Bus za zamani ila engine wana weka za ki
Sasa,body imeoza.
3:Body ya bus ilitengenezwa miaka ya 90s
Engine ya miaka 2005 au zaidi.Balance
Ya bus IPO wapi?
4: bus za safari ndefui ziwe za bus mpya. Na.
Pendekeza
5:kitengo cha kudhibiti na ufutiliaji na kutoa
Leseni hicho kitu si kigeni
bus body za miaka ya late 90s unategemea
ziende na miendombino na kukaa na
Speed ya ma bus ya kisasa?
5:bus za abiria ni muhimu ziwe na kuzingatia
lini zilijengwa .
6: body ya bus ikiwa ya zamani ,ni rahisi sana
Kwenye kukata steering bus inakosa balan
ce.
7:kampuni zanye bus za zamani zisi pewe
Safari ndefu.

8:wanaotoa leseni ya dadala za mikoani SKU
hizi hupewi njia ya mjini mpaka uwe na reg c
(Or) D .Risk kubwa ni bus zinazo enda umbali
Mrefu au mfupi?
9: Je engine namba na Reg ya bus zipo sawa
Kwenye card ya bus?
Na insurance ya bus ni category gani?
10: watu wanaopata ajali kwrenye bus huwa
Wana haki ya kulipwa au la?
SUMATRA tupeni elimu ya haki ya abiria

Kwenye ajali.siyo namba ya kutoa taarifa
Kama bus inakimbia.kagua insurance pia
Iwe ya ukweli.

Watu wanaumia na kufa sidhani hata kuna MTU anapewa msaada na mwenye bus au insurance wake!!!!!

Wenye mamlaka mpo wapi???????
Kazi ni kuangalia speed na karatasi ya TRA?????



SUMATRA
 
Hawa watu wana matatizo gani? Huku Arusha jana usiku Hood ilikuwa inavutwa cheni ikakatika likaingia kwenye baa moja hivi , leo tena khaaaaa
Baa gan mpendwa
 
Kama ni lile la Arusha basi ni balaa, linakimbia noma, liliwahi kutupita Kitonga na kuyakata magari mengine kila mtu kwenye gari alishika kichwa. Mungu aepushie mbali
Nilipanda hood toka Arusha kwenda morogoro kusalimia waliguru kwa kweli KUWA hai leo ni kudra ya Mungu. Jamaa anakimbiza gari na ku overtake bila kujali anaona mbele. Nilihesabu tulikoswa koswa mara tano kupata ajali. Nikamwita tandiboi nikamtuma amwambie derivatives KUWA sisi hatuna haraka lakini wala hakufanya chochote ndio akaongeza mwendo. Hilo basi sipandi tena hata kwa malipo.
 
mabasi bora kodi kubwa sana inawafanya hao wafanyabiashara hiyo wengi waunge unge na mabasi mabovu yaliyopo Serikali jali watu wako punguza kodi ya mabasi watu walete basi starndard na si hayo hata balance hayana ilo lililopata ajali baada ya mwezi utaliona bara barani ajali zitapunguaje? Zambia na Zimbabwe basi likipata ajali abiria wanahudumiwa na mwenye basi gharama zote bongo ni hadithi tuu zinaishia kufungia basi na kufunguliwa kwa Rushwa..ninyi mlipunguza kodi ya maroli kwamba mizigo ni bora kuliko Raia wenu..
 
mabasi bora kodi kubwa sana inawafanya hao wafanyabiashara hiyo wengi waunge unge na mabasi mabovu yaliyopo Serikali jali watu wako punguza kodi ya mabasi watu walete basi starndard na si hayo hata balance hayana ilo lililopata ajali baada ya mwezi utaliona bara barani ajali zitapunguaje? Zambia na Zimbabwe basi likipata ajali abiria wanahudumiwa na mwenye basi gharama zote bongo ni hadithi tuu zinaishia kufungia basi na kufunguliwa kwa Rushwa..ninyi mlipunguza kodi ya maroli kwamba mizigo ni bora kuliko Raia wenu..
You got a point.
 
duh mola aepushe vifo na majeraha. wasalimike wote, amina.
Mkuu hata mm nilipoona taarifa hii kabla ya picha nilijitahidi kuomba vifo na majeruhi visitokee lkn baada ya kuona picha stimu ya maombi imekata nimeamua kumuachia mungu tu
 
Back
Top Bottom