LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Wa kampuni gani huo mnala?pengine ni wa wakwepa kodi!!
Yani huyu mshikaji angesema ni ya kampuni gani ingekuwa poa kabisa!
Lakini nina hofu kwn pale kunakuwaga na mnara wa Zantel pekee!
Makampuni nyingine zikogo pembezoni kiduchu!